Msaada naomba mwenye Apple ID Asiyoitumia anipatie

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,443
47,472
Wakuu nilinunua iphone kwa mtu akaondoa ID Yake Mimi kila nikijaribu ku icreate imegoma naomba mtu anisaidie mwenye nayo nitashukuru sana
 
Tafuta computer
Weka itune
Kwa juu kuna accnt hapo utafungua accnt yako ambayo itakubid utumie gmail kama unayo au njoo pm ukishindwa
 
Sasa ndege imeshindikana kabisa kufungua icloud acc nyingine, imeshindikana kabisa? how???
 
Wakuu nilinunua iphone kwa mtu akaondoa ID Yake Mimi kila nikijaribu ku icreate imegoma naomba mtu anisaidie mwenye nayo nitashukuru sana
Naanza kuhisi kuna tatizo upande wa icloud nina siku 2 najaribu kufungua akaunti mpya inagoma. Nimejaribu kwenye simu na kompyuta pia ila imegoma. Kila mara inaniambia nijaribu baadae kutemgeneza akaunti, muda mwingine inaishia kuzunguka unapobonyeza next ili kupata code kwenye email.

Nimejaribu hata kubadilisha email na namba ya simu ila haikubali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom