Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
6,469
9,801
Vita vinaingia mwezi wa tano. Wapalestina wa Gaza wamepiga makelele sana na hawakupata msaada wanaostahiki. Sasa ni mayowe tu kutoka kila eneo mfano wa yale mayowe ya watu waliovamiwa na majambazi wenye silaha usiku.

Mayowe sasa hivi yanatokea Rafaha mpakani na Misri. Upande wa nyuma kuna makuta yenye seng'enge na mbele yao na juu ni majeshi ya Israel yanayojiandaa kuvamia na kuvuruga eneo lote kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas na hata mateka hawawataji tena.

Eneo hilo kwa sasa lina watu takriban milioni moja na laki 3 zaidi ya nusu ya watu wa Gaza kabla ya vita.Watu hao wamesongamana kwenye mahema na wachache kwenye nyumba za ndugu zao ambazo zimegeuka kama vyumba vya mahabusu kutokana na msongamano.

Jamal Abu Tour kwenye eneo hilo ameiambia CNN katika kujifariji na kuwa na tamaa ya kupata msaada kuwa wanaomba Allah awasaide ili majeshi ya Israel yasitekeleze nia yao hiyo kwani hawana tena sehemu ya kukimbilia.

Mzee huyo akaendelea kusema kuwa hawataki warudi jiji la Gaza au Khan Younis na El Nuseirat kwani wamesikia wenzao huko wanakula majani na kunywa maji machafu.

Mahmoud Khalil Amer ambaye alikimbizwa kutoka kamba ya El Shati kaskazini ya Gaza na ambaye kwa sasa amejenga hema pembezoni pa makubiri eneo hilo Rafah,amesema kwa kweli kwa sasa hawana maisha.Waliokufa wanaweza kuwa ni bora kuliko wao.

Wakati mayowe ya watu wa Gaza yakiwa ya hali ya juu watu waliotarajiwa kuwasikia na kuwasaidia karibu wote ndio wamekuwa kimya zaidi kuliko mwanzoni mwa vita.Wale wanaoinua sauti baada ya kusikia mayowe hayo wanatoa matamko kama ya walevi.

Raisi Erdogan wa Uturuki karibuni alimlinganisha Netanyahu na Hitler.Wakati hukumu ya ICJ haikumshtua Netanyahu kauli kama hiyo ya Erdogan haina maana yoyote na ni kama ameridhia aendelee na analolifanya wakati angeweza kumzuia.

Ofisi ya raisi Mahmoud Abbbas wa mamlaka ya Palestina ukingo wa magharibi imesema wakati umefika kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake kuhakikisha janga kubwa zaidi halitokei na kuliingiza eneo lote kwenye vita visivyokwisha...

Tangu vita vianze ofisi hiyo haijaona janga tu na kauli ya ofisi hiyo mbona ni nyepesi kuliko uwezo wao wa kuzuia janga.

Katika hali ya kutosikilizwa mayowe yao ni vyema kwamba watu wa Gaza eneo la Rafaha wamejua ni wapi pa kupeleka kilio chao, kwa Allah muweza wa kila jambo, kwani huyo pekee ndiye mwenye uwezo wa kuwakinga na balaa kama alivyofanya kwa nabii Mussa a.s mbele ya Fir'aun na jeshi lake.
 
Vita vinaingia mwezi wa tano.Wapalestina wa Gaza wamepiga makelele sana na hawakupata msaada wanaostahiki.Sasa ni mayowe tu kutoka kila eneo mfano wa yale mayowe ya watu waliovamiwa na majambazi wenye silaha usiku.
Mayowe sasa hivi yanatokea Rafaha mpakani na Misri.Upande wa nyuma kuna makuta yenye seng'enge na mbele yao na juu ni majeshi ya Israel yanayojiandaa kuvamia na kuvuruga eneo lote kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas na hata mateka hawawataji tena.
Eneo hilo kwa sasa lina watu takriban milioni moja na laki 3 zaidi ya nusu ya watu wa Gaza kabla ya vita.Watu hao wamesongamana kwenye mahema na wachache kwenye nyumba za ndugu zao ambazo zimegeuka kama vyumba vya mahabusu kutokana na msongamano.
Jamal Abu Tour kwenye eneo hilo ameiambia CNN katika kujifariji na kuwa na tamaa ya kupata msaada kuwa wanaomba Allah awasaide ili majeshi ya Israel yasitekeleze nia yao hiyo kwani hawana tena sehemu ya kukimbilia.
Mzee huyo akaendelea kusema kuwa hawataki warudi jiji la Gaza au Khan Younis na El Nuseirat kwani wamesikia wenzao huko wanakula majani na kunywa maji machafu.
Mahmoud Khalil Amer ambaye alikimbizwa kutoka kamba ya El Shati kaskazini ya Gaza na ambaye kwa sasa amejenga hema pembezoni pa makubiri eneo hilo Rafah,amesema kwa kweli kwa sasa hawana maisha.Waliokufa wanaweza kuwa ni bora kuliko wao.
Wakati mayowe ya watu wa Gaza yakiwa ya hali ya juu watu waliotarajiwa kuwasikia na kuwasaidia karibu wote ndio wamekuwa kimya zaidi kuliko mwanzoni mwa vita.Wale wanaoinua sauti baada ya kusikia mayowe hayo wanatoa matamko kama ya walevi.
Raisi Erdogan wa Uturuki karibuni alimlinganisha Netanyahu na Hitler.Wakati hukumu ya ICJ haikumshtua Netanyahu kauli kama hiyo ya Erdogan haina maana yoyote na ni kama ameridhia aendelee na analolifanya wakati angeweza kumzuia.
Ofisi ya raisi Mahmoud Abbbas wa mamlaka ya Palestina ukingo wa magharibi imesema wakati umefika kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake kuhakikisha janga kubwa zaidi halitokei na kuliingiza eneo lote kwenye vita visivyokwisha... .
Tangu vita vianze ofisi hiyo haijaona janga tu. na kauli ya ofisi hiyo mbona ni nyepesi kuliko uwezo wao wa kuzuia janga.
Katika hali ya kutosikilizwa mayowe yao ni vyema kwamba watu wa Gaza eneo la Rafaha wamejua ni wapi pa kupeleka kilio chao,kwa Allah muweza wa kila jambo, kwani huyo pekee ndiye mwenye uwezo wa kuwakinga na balaa kama alivyofanya kwa nabii Mussa a.s mbele ya Fir'aun na jeshi lake.
Mwenyezi Mungu ndio wa kuombwa sio mwengine
 
Vita vinaingia mwezi wa tano. Wapalestina wa Gaza wamepiga makelele sana na hawakupata msaada wanaostahiki. Sasa ni mayowe tu kutoka kila eneo mfano wa yale mayowe ya watu waliovamiwa na majambazi wenye silaha usiku.

Mayowe sasa hivi yanatokea Rafaha mpakani na Misri. Upande wa nyuma kuna makuta yenye seng'enge na mbele yao na juu ni majeshi ya Israel yanayojiandaa kuvamia na kuvuruga eneo lote kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas na hata mateka hawawataji tena.

Eneo hilo kwa sasa lina watu takriban milioni moja na laki 3 zaidi ya nusu ya watu wa Gaza kabla ya vita.Watu hao wamesongamana kwenye mahema na wachache kwenye nyumba za ndugu zao ambazo zimegeuka kama vyumba vya mahabusu kutokana na msongamano.

Jamal Abu Tour kwenye eneo hilo ameiambia CNN katika kujifariji na kuwa na tamaa ya kupata msaada kuwa wanaomba Allah awasaide ili majeshi ya Israel yasitekeleze nia yao hiyo kwani hawana tena sehemu ya kukimbilia.

Mzee huyo akaendelea kusema kuwa hawataki warudi jiji la Gaza au Khan Younis na El Nuseirat kwani wamesikia wenzao huko wanakula majani na kunywa maji machafu.

Mahmoud Khalil Amer ambaye alikimbizwa kutoka kamba ya El Shati kaskazini ya Gaza na ambaye kwa sasa amejenga hema pembezoni pa makubiri eneo hilo Rafah,amesema kwa kweli kwa sasa hawana maisha.Waliokufa wanaweza kuwa ni bora kuliko wao.

Wakati mayowe ya watu wa Gaza yakiwa ya hali ya juu watu waliotarajiwa kuwasikia na kuwasaidia karibu wote ndio wamekuwa kimya zaidi kuliko mwanzoni mwa vita.Wale wanaoinua sauti baada ya kusikia mayowe hayo wanatoa matamko kama ya walevi.

Raisi Erdogan wa Uturuki karibuni alimlinganisha Netanyahu na Hitler.Wakati hukumu ya ICJ haikumshtua Netanyahu kauli kama hiyo ya Erdogan haina maana yoyote na ni kama ameridhia aendelee na analolifanya wakati angeweza kumzuia.

Ofisi ya raisi Mahmoud Abbbas wa mamlaka ya Palestina ukingo wa magharibi imesema wakati umefika kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake kuhakikisha janga kubwa zaidi halitokei na kuliingiza eneo lote kwenye vita visivyokwisha...

Tangu vita vianze ofisi hiyo haijaona janga tu na kauli ya ofisi hiyo mbona ni nyepesi kuliko uwezo wao wa kuzuia janga.

Katika hali ya kutosikilizwa mayowe yao ni vyema kwamba watu wa Gaza eneo la Rafaha wamejua ni wapi pa kupeleka kilio chao, kwa Allah muweza wa kila jambo, kwani huyo pekee ndiye mwenye uwezo wa kuwakinga na balaa kama alivyofanya kwa nabii Mussa a.s mbele ya Fir'aun na jeshi lake.
Unalalamikia nini? Kwani si HAMAS wapi? Wawasaidie.
 
Mwenyezi Mungu ndio wa kuombwa sio mwengine
Yeye Mwenyezi Mungu eneo ambalo si mbali na hapo Gaza ndiye aliyetoa ushindi kwa Mussa a.s wakati Fir'aun alipomfukuza na wanyonge wenzake mpaka akambamiza na bahari.
Kilichotokea kumbe Fir'aun alikuwa akivutwa kwa hekima za Allah s.w afike hapo aangamizwe moja kwa moja.
Mussa a.s akijiona hana pa kukimbilia akaomba na Allah s.w alikwishapanga akapasuliwa bahari mbele yake apite.
Farasi wa jeshi la Fir'aun walikwishaona dalili mbaya lakini Allah akawaonesha kitu wakafuata.Baada ya Mussa na watu wake kuwa wameshavuka huku nyuma jeshi la Fir'aun na mwenyewe Fir'aun likazamishwa na ikawa ndio mwisho wa uadui wao
Wapalestina wamefurushwa na kuuliwa njiani mpaka wamefika Rafah kwenye ukuta.Kilichobaki ni rehma za Allah s.w
 
Unalalamikia nini? Kwani si HAMAS wapi? Wawasaidie.
Hakuna kulalamika.Ni kuweka wazi ushahidi wa udhaifu wa kibinadamu.
Nyinyi ambao hamna imani ya kweli au hamumjui Mwenyezi Mungu huwa uoni wenu una upogo wa hali ya juu.
Kuna sehemu huwa mnaangamia na bado mnaona kama ndio mumefanikiwa.
Mnakunywa ulevi mkali mkitaraji kuburudika zaidi kumbe ndio mnajiua kwa kasi.
 
Yaan mda woteee ule walikua busy na ujinga mwingine leo sasa baada ya kichapo ndo wanashtuka kuna MUNGU !!sema kwa sababu Mungu ni mwingi wa rehema atafanya jambo.
Sio kweli kwamba walikuwa wamemsahau Mungu.
Hatua zote wanamtaja na kumtegemea yeye.Hata hasira kubwa za Hamas ni kuona nembo ya uislamu iliyo dalili nyingi za Mungu inachezewa na ndipo walipochukua jina la shambulio lao.
Nakuhakikishia ukubwa wa silaha na vifo na hasara iliyowapata watu wa Gaza wasingekuwa ni waislamu wenye imani ya Mungu vita vingeisha siku ya mwanzo tu na ungeona Hamas wamejisalimisha na watu wanapigana kama wanayama kila mmoja akimshambulia mwenzake.
Vita vinavyopiganwa Gaza hakuna ambapo vimewahi kutokea katika historia ya karibuni.Askari wa Zelensky hawakuweza kuhimili hata mwezi mmoja kule Mariupol.Kuna kamanda mmoja alionekana kujuta na kila wakati akipiga mayowe mpaka akapata upenyo akakimbia.Wenzake wakaomba njia wajisalimishe.
 
Huu mwaka Israhell lazima waitoe Palestine licha ya madhila makubwa yanayowapata
Na pale unapoona nguvu na uwezo wako wa kibinaadamu umeishia basi ujue uwezo na rehma za Mungu upo na unaendelea zaidi na zaidi
Israhell itaitema Palestine iliokua huru na mji mkuu ukiwa Jerusalem na watu watasalia masjid al Aqsa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom