Utaratibu upo simple,nenda kituo/shule ambayo PC (Private candidate) wanafanya mtihani,watakupa maelekezo pesa ya pesa ya kituo haizidi 30,alafu utaenda posta kulipia Pesa ya Necta. Baada ya hapo utasubili kwenda kupiga pesa mwakani.
NB, Nenda posta watakupa maelekezo, jinsi ya kulipia hata vituo vya PC wanavijua
Kuna hizi centre za QT, Qualified Test zinaandaa wanaotaka kuresit. Upo mkoa gani?
Mwongo Sana wewe.... Kama hujui ungekaa kimya.Bahati mbaya umechelewa kujisajli kwa mwaka huu ilikuwa kuanzia mwezi wa 1-3 hivyo itakubidi usubiri mwakani mwanzoni jisajili necta kupitia posta tafuta shule tena lipi kituo cha mtihani subiria pepa
muda wa kawaida kujisajili kama mtahiniwa wa kujitegemea ni tarehe 01/07/2020-30/09/2020.na muda wa penalt ni tarehe 01/10/2020-31/10/2020.ambapo kutakuwa na fine.Mwongo Sana wewe.... Kama hujui ungekaa kimya.
Usajiliwa pc umeanza na mwisho ni trh 30 Sept....
Maelezo Zaid ingia website ya necta