Naomba msaada jinsi ya kupata uhamisho kidato cha tano

KamyZee

Member
Jun 25, 2020
6
20
Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you.

Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye combination ya PCM. Je, itawezekana? Na utaratibu wa kupata uhamisho ukoje? Naomba msaada kwa yeyote anayejua.

Natanguliza shukrani.
 
Kasongo

JF-Expert Member
Jul 29, 2007
3,048
2,000
Nenda hapo Dodoma kwanza uone kama nafasi ipo.Baada ya hapo utatakiwa kumuona Afisa Elimu (W).Utaratibu mpya.lazima ukaripoti Loleza na kulaa miezi mitatu kwanza.
 
DEAL88

JF-Expert Member
Apr 9, 2016
844
1,000
Japokuwa sijajua kwanini umeshindwa kwenda hujawa wazi lakini km unapenda tahasusi ya PCM hata Loleza ipo tena kubadilisha ukiwa pale pale ni rahisi sana kuliko kutafuta uhamisho maana uhamisho procedures kibao, upate nafasi unakotaka kuhamia muda mwingine unakuta unakuwa ugumu ksb serikali wamechagua watu according to maximum capacity ya shule husika btw nikutakie kila la kheri ktk kutimiza ndoto zako!
 
Nashukuru kwa msaada wako, binafsi ningependa kusoma Mbeya lakini imeshindikana kwasababu ya family issues. Either way, I'll keep struggling to achieve my goals. God bless you!
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,668
2,000
Ni afadhali ukabadilisha combi loleza hapohapo kwasababu kuhama shule unatakiwa uwe umemaliza kuhula mzima ndio uombe uhamisho.

Ingia website ya tamisemi kuna tangazo linaelezea hilo swala
 
KamyZee

Member
Jun 25, 2020
6
20
Ni afadhali ukabadilisha combi loleza hapohapo kwasababu kuhama shule unatakiwa uwe umemaliza kuhula mzima ndio uombe uhamisho.

Ingia website ya tamisemi kuna tangazo linaelezea hilo swala
Mkuu nahitaji kuhama shule pamoja na combination lakini cha muhimu zaidi ni huo uhamisho. Asante kwa taarifa, ntapitia website yao.
 
cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
21,784
2,000
Hiyo comb ya PCM loleza ipo km shida kubadilisha hilo usijali, ila km shida n uhamisho sheria n lazima usome 1 term ktk shule husika ndipo ufanye uhamisho, ila nakutakia kila la kheri ktk kutimiza ndoto zako, comb ngumu na ni ya heshima, mate
 
KamyZee

Member
Jun 25, 2020
6
20
Hiyo comb ya PCM loleza ipo km shida kubadilisha hilo usijali, ila km shida n uhamisho sheria n lazima usome 1 term ktk shule husika ndipo ufanye uhamisho, ila nakutakia kila la kheri ktk kutimiza ndoto zako, comb ngumu na ni ya heshima, mate
Asante sana. Best wishes to you too.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom