Msaada kwa mambo ya Bima

Gogovivu45

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
229
133
Wadau habari blue Monday. Naenda kwenye hoja.

Nilikuwa na IST ya 11,500,000. Nilipigwa na Ice tarehe 10/10/2019. bima nilikata ya tarehe 08/07/2020-07/07/2020. Claim amount imesoma 15,800,000 na payable ni 9,000,000.

Katika michakato hii, je, hii gari nimali ya bima au inabakai kuwa yangu?
 
Gari ni yako, bima inakulipa damage uliyoipata. Ukiamua kuitupa sawa ukiamua kuifufua sawa. Card ya gari iliyoharibika inaonyesha still owned by you siyo bima.

Bima hawahusiki na ownership wao jukumu lao ni kulipia damage involved basi.

Jiulize, unamlipia mkeo au mwanao bima ya afya, akiugua anatibiwa na bima inalipia matibabu. Je, hii inaifanya bima wawe wamiliki wa mkeo au mwanao?!

Hata akifariki bima haichukui maiti ya marehemu. Bado ni wako tu awe hai au amekufa mgonjwa.

Hizi janja janja za michezo ya bima inajulikana, pande zote.
 
Back
Top Bottom