Naomba ushauri wa Course ya kusoma kulingana na matokeo haya

Ma-chemist

Member
May 11, 2020
36
14
Habari za wakati huu ndugu Wanajamvi, Kama kichwa Cha habari kinavo jieleza hapo juu mimi ni muhitimu wa Kidato cha Sita mwaka jana wa 2019/2020 mchepuo wa CBG matokeo yalikuwa kama hivi BAM=B, GS=C chemistry=D Biology=D Geography=D, sema msi shangae kwanini BAM, nina ufaulu huo nili chaguliwa EGM mwanzoni Ila kulingana na ushawishii nikajikuta nimeenda Tahususi ya CBG

Sasa ndugu Wana jamvi kutokana na kukosa mkopo nikajikuta nimeshindwa kuji-unga na masomo yangu ya Elimu ya Juu lakini mwaka huu baada ya kukaa nyumbaniii nikajikuta nimebadilisha mawazo nataman kwenda kusoma Bancherol of science in Artcheture pale Ardhii University au Building Economic Apo Apo Ardhii.

Je kwa matokeo hayo ninaweza kupata nafasi kwel na hizo course Zina husiana na Nini hasa lkn pia Mzazi Ana zidi kunishinikiza nikasome Bancherol of science in molecular biology and Biotechnology au microbiology pale UDSM na Bancherol of science in Biotechnology and laboratory science pale SUA

Je kwa matokeo hayo ninaweza kupata nafasi kwel kwa hizo chuo na mwenye ufahami wa hizi program anipe uelewe plz maana soon dirisha linakwenda kufunguliwa 2020/2021
 
bahati yako umejieleza hapo kwa BAM.

kijana kozi zote hapo unafit. andaa ada tu.

GOOD LUCK.
 
C

Sikukatishi tamaa but ndio ukweli
"Ni hivi Uwezi kupata Kwa CBG, ulifanya kosa kuacha EGM ndug"
Pia hata Udsm sidhani kama utapata hii course ya Biotechnology But kwa SUA 100℅ unapata kazi kwako!!
 
Amna noma cz kila mtu anakuambia yake mwingne Bora EGM mwingne Bora CBG Ila mm nafaham CBG ukiwa na matokeo mazuri una uwanja Mpana Sana hata kuliko hiyo EGM
 
Ardhi University Kwa Kozi hizo wanaangalia Sana matokeo ya o level hasa hesabu.

Building economics ya Ardhi ni nzr Sana ingawa ina physics Sana na physics inaangaliwa sana hasa o level
 
O-level nilikuwa na C ya hesabu physics nilikuwa na D naweza pata Kaka na hii inahusu Nini Sana Kaka mkubwa
 
Au kwa maonii yako nikasome course gan apoo Ardhii University maana ndo chuo nacho kupenda zaidi ingawa kila mtu na nambia njoo SUA je Apo ARU naweza pata course gan Kati ya hizi ata Building Economic, Environment science, Regional planning au Bancherol of science in Real Estate
 
Jaribu pote ww mtoto wa kiume, UDSM molecular biology, SUA, na mwenzie, kila mtu na bahati yake,

Ukiona vip kasome utimize ndoto yako ya kuwa chemist, unaweza kuja kuwa raisi wa tanganyika.
 
Kijana Nenda MUHAS ukapige Environmental health Sciences..kozi ya miaka mi3..kozi yenye future nzuri sana..

#MaendeleoHayanaChama.
 
Sawa Kaka sema naskia MUHAS kila course Ni three principle pass yaan Physics, Chemisty and Biology xx cjuii kwa hiyo course ikoje kwa upande wa vigezo vyake
 
Hii haina shida sana hata ukiwa na Geography au nutrition unaingia..sema uwe umefauli vizuri mana MUHAS wanachukua wenye alama za juu..ila ki ukweli ni kozi nzuri sana na watu wanapiga maisha sana kupitia hii kozi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom