Changamoto kwenye Blockchain exchange nahitaji msaada

Intrvt

Member
May 26, 2020
26
5
Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani.

Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's ID).

Kama kuna aliyeweza kutumia passport au driving license pia naomba mwongozo, hii inanikwamisha kwenye ku transfer funds to my bank account.
 
Back
Top Bottom