Maswali yanayoulizwa sana kwenye interview ya utumishi kada ya ununuzi na ugavi (procurement)

MigoMigo09

Member
Jan 24, 2020
15
45
Naomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi.

Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
 
mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
423
250
Naomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi ....
Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
Jitahidi ujue key duties zako kama afisa ugavi, na duties za tendet board na accounting officer.

Ukiweza zaidi, pitia kwa ufupi kuhusu TANePS, itakusaidia sana, coz manunuzi ya umma sasa hivi yanaoperate kwa mfumo huo. Atleast uwe na uelewa basic wa mfumo unavyofanya kazi.

Kwa ujumla hakikisha sheria na kanuni za manunuzi kama zilivyofanyiwa mabadiliko 2016 unapitia vizuri.

Wishing you all the best.
 
Asante sana ndugu
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
47,269
2,000
Elewa SMART ni swali linalokuja kimtego mara nyingi
  • Specific (simple, sensible, significant).
  • Measurable (meaningful, motivating).
  • Achievable (agreed, attainable).
  • Relevant (reasonable, realistic and resourced, results-based).
  • Time bound (time-based, time limited, time/cost limited, timely, time-sensiti
 
Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
5,394
2,000
Naomba kama kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya usahili wa kada hyoo naomba msaada wa kupata angalau kujua wanauliza maswali gani ili niweze kujiandaa na mimi ....
Nitangulize shukran kwa wote asanten sana
Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo, nikupe ushuhuda kutoka kwa Mwalimu wangu wa Storkeeping and Procedures! Alikuwa anachekesha sana darasani, akiingia darasani kwenye kipindi, hakiwezi kuisha watu hawajlaipuka kwa kicheko
Kuna siku moja alianza kwa kusema hivi: " Halafu unapokuwa unasoma masomo ya materials management, wewe na Gereza la Keko mnakuwa hamko mbali sana. Kuna jamaa mmoja alikuwa anatunza ghala la mafuta, amepanga mapipa ndani kwenye store, kila siku huwa anapita anayangalia na kuyahesabu idadi anakuta idadi iko sawasawa. Sasa siku moja akaamua kuyahesabu kwa kuyatikisa. Akatikisa pipa la kwanza linamwita (yaani liko tupu, halina mafuta), akatikisa la pili linamwita, na la tatu nalo vilevile. Baada ya hapo akanguka chini PUU. (Kumbe kuna wahuni walitengeneza mpango wakapitisha mpira wakawa wananyona mafuta usiku, yeye akipita anaona mapipa yamekaa, kumbe hayana kitu).
Huyu mtu hatimaye anakuja kuzinduka, akajikuta yuko Kituo cha Polisi; Polisi wameshika karatasi na Kalamu wanamwambia "kuzimia kwako hakutusaidii sisi, ebu tuambie bwana, Mafuta yalienda wapi?"

MORAL OF THE STORY:
Ukipata kazi ya ugavi baada ya interview, usije ukafanya kosa la kuwa unahakiki vitu vyote kwa kutumia macho, kuna vingine vinahitaji verification kwa kuguswa physically. PHYSICAL VERIFICATION
 
Lubengera

Member
Jun 21, 2019
92
125
Guy ngoja nikupe possible.
1. Soma function za
PPRA, PPAA,PSPTB, GPSA, Tender Board, PMU, Evaluation Team, na User Department

2. Pitia Methods of Procurement! eg International Competitive bidding, National Competitive biding, Competitive quotation, single source, Force Account, etc.

3. Pitia Mambo ya sourcing eg Maana ya Subcontracting na Sourcing etc

4. Duties of Supplies Officer katika taasis

5. Mapungufu yaliyoko katika sheria ya manunuzi mpaka kukapelekea marekebisho toka toka ya 2004 na ile 2011 na regulations zake

6. Jifunze umuhimu wa Annual procurement Plan katika taasis

7. Document zinazotumika katika manunuzi, eg L.P.O, invoice, delivery note, quotation etc

8. Aina za mikataba!

9. Nini maana ya procurement, umuhim wanprocurement katika taasisi

10. Maswali General ni, elezea weakness yako, Utafanyaje kama Muajiri wako atatumia cheo chake kutaka uvinje sheria ya manunuzi, Elezea wewe ni nani, etc
Nakutakia kila la kheri!

Pitia hayo japo kwa juu juu, uwe na knowledge kidogo
 
Ubarikiwe ndugu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom