Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 4,550
Habari zenu wadau, Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hii kitu Kwenye simu za iphone. Kwa sasa kumekua na matoleo ya iphone ambapo ni dual line ( laini mbili), lakini laini moja inakua ni eSim (laini usioiona kwa macho na inakua ndani ya simu).
Hoja yangu ya msingi hapa nataka kujua je, hapa kwetu bongo makampuni ya simu wanayo hio huduma ya usajili kwa hizo laini za mfumo huo. Na je kama ni ndio ni jukumu tu la mmiliki wa simu kuchagua ni mtandao gani akasajilie line huko?
Pia endapo simu ikipotea au kuharibu uwezekano wa kuitumia ile laini ya ndani unakuaje?
Asante