Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi

Pangamalasy

Senior Member
Jun 5, 2020
127
110
Nina degree ya Education kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, certificate ya Research and Data Analysis chuo kikuu cha SAUTI, certificate ya Administration and Management chuo kikuu cha SAUT, experience three years in teaching.

Namba zangu ni 0768752056 na 0673650746
 
SHULE YA SEKONDARI MWANGA.

MKUU wa shule ya Sekondari Mwanga iliyopo wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro,anatangaza nafasi ya kazi ya ualimu wa masomo ya biashara

SIFA ZA MWOMBAJI.

1.Awe Mwalimu kwa taaluma siyo vinginevyo

2.Awe na shahada ya Elimu kwenye masomo ya Biashara(ECA)

3.Mtanzania

4.Anayeweza kufanya kazi bila kusimamiwa

5.Mwenye kuzingatia maadili ya kazi ya ualimu

6.Mwenye GPA ya zaidi ya 3.5 atafikiriwa zaidi

Kwa mawasiliano
Tupigie 0755278551(Mkuu wa shule)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom