Madagascar: Mfumo wa Huduma za Afya waelemewa na wagonjwa wa Corona, hospitali za Umma zimejaa

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,449
17,148
Taarifa ni kuwa mfumo wa Huduma za Afya nchini Madagascar umeelemewa na wagonjwa, hospitali zote zimejaa wagonjwa, hali ni mbaya.

Serikali imeomba msaada wa mashine zaidi ya 1,000 za kupumulia. Hospitali zinapokea wagonjwa mahututi pekee kwa sababu wagonjwa wakejaa.

Organic Covid imegonga mwamba.

===

1595312275645.png


Public hospitals in Madagascar said they’ve reached full capacity and will only accept patients with the most severe forms of Covid-19 as cases surge in the Indian Ocean island nation.

President Andry Rajoelina earlier this month reimposed a lockdown on the country’s central region until July 26 as the five public hospitals in the capital, Antananarivo, announced they could no longer cope with the influx of patients. Only one person per household is allowed to go out to buy food or medicine. An initial lockdown in March was lifted after four weeks.

The government has opened a 400-bed treatment center for people with mild symptoms and is importing about 1,000 oxygen machines. The number of confirmed cases reached 7,153 on Monday, including 62 deaths. Those who don’t get tested and die at home will not be included in official statistics, the spokeswoman of the country’s Covid-19 Command Center, Hanta Marie Danielle Vololontiana, said last week.

Madagascar is building a factory to mass-produce a drink that was touted by authorities as a cure for Covid-19 even though it hasn’t been clinically tested or approved by drug regulators. Sold as Covid-Organics, the drink contains extracts of the artemisia annua plant, which is used to treat malaria.

However, Health Ministry guidelines for citizens to treat themselves at home do not mention Covid-Organics.


Bloomberg - Are you a robot?
 
sina mali sina deni - بحث Google

Sina Mali, Sina Deni
Song by Khadja Nin

Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja, ya kitu,
Mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
Sina mali, Mungu, sina deni
 
Kwani hao hawawezi kuuumwa kimya kimya tu majumbani ili wafiche isijulikane kama kuna Corona kama tunavyoambiwa Tz kuwa ndio tunafanya hivyo? Tz kuko kimya tunaambiwa hospitali zinakataa wagonjwa wa corona hivyo watu wanajiuguza nyumbani na wengine wanakufa kimya kimya.
 
Kwani hao hawawezi kuuumwa kimya kimya tu majumbani ili wafiche isijulikane kama kuna Corona kama tunavyoambiwa Tz kuwa ndio tunafanya hivyo? Tz kuko kimya tunaambiwa hospitali zinakataa wagonjwa wa corona hivyo watu wanajiuguza nyumbani na wengine wanakufa kimya kimya.
Acha uongo kuna hospital zimekataa wagonjwa wa corona, vipimo vyenyewe ndivyo hivyo havisomi kitu sasa...
 
Acha uongo kuna hospital zimekataa wagonjwa wa corona, vipimo vyenyewe ndivyo hivyo havisomi kitu sasa...
Sio mie mkuu ndio nasema hivyo,mie nimefanya kueleza tu wanachokisema watu kuwa hospitali zinawaambia wagonjwa wa corona wakajiuguzie nyumbani ili iionekane hakuna wagonjwa wa corona,kwahiyo majumbani huko watu wanaumwa kimya kimya na kufa kimya kimya.

Sio mimi ndiyo nayesema hivyo ni baadhi ya madai ya watu humu humu JF.
 
Pamoja na kwamba wabongo tumefinyafinya taarifa, lakini hali zetu wala haziko mbaya kiasi kama cha tunazosikia huko nje kwa wenzetu. Hakika tumshukuru Mungu
 
Ukimwi nao watu walipuuza na kudai ni fununu , Mwanzoni mwa miaka ya 80 Mji wa kigoma ulipukutika kwa VVU mpaka serikali ikaingilia kati, Sababu watu walikua hawaamini kama kweli kuna kitu kinaitwa ukimwi na ndicho kinachomaliza watu, Ikabidi serikali kuruhusu raia kitoka nchi zilizoko jirani na Kigoma waingie kigoma waweke makaazi ili waendeleze mji kwa sababu wenyeji karibia robo tatu wameangamia kwa kupuuza taarifa za kuenea kwa kirusi cha ukimwi, Ndio maana kigoma kuna watu wana ndugu zao kutoka Nchi jirani zilizokua na migogoro ya kisiasa wakati huo.
 
Back
Top Bottom