Msaada: Kituo cha tuition kwa ajili ya kurudia (ku-reseat) Mitahini Form 4

caboos

Member
Aug 23, 2017
14
19
Heshima Mbele wadau

Kuna bwana mdogo kachemsha pepa najaribu kuona namna ya kumsaidia.

Naomba kuulizia kituo cha maandalizi/tuition center kizuri kwa maandalizi kilichopo maeneo ya Goba au Mbezi Mwisho kwa ajili ya mwanafunzi anaetakiwa kurudia NECTA Form 4.

Masomo Geography, History, Language, Kiswahili.. kama kuna kituo kingine kizuri maeneo mengine unaweza pia kunujuza

Natanguliza Shukrani
 
Kuna British school center pale mwenge na Atlantic school center pale ilala boma.. Hutojuta mkuu
 
amepata D tatu mkuu, ameshindwa hata kupata vigezo vya kuombe certificate program kwenye vyuo vya kati
 
Back
Top Bottom