Msaada - Naomba kujuzwa utaratibu wa kusajili blog na online TV

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,045
2,000
Salam wapendwa.

Naomba kujuzwa na wajuzi.

Utaratibu wa kusajili hizi blog na website pamoja online TV huko kunakoitwa TCRA.

Je, ni aina gani ya blog? (Inayojihusisha na nini?)

Je, vipi upande wa chennel ya YouTube?

Na je, vip kuhusu website?

NAOMBA KUJUZWA JAPO KWA UCHACHE
 

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,556
2,000
Nasikia maudhui yakiwa ya kuelimisha hayatozwi kodi Ila udaku,siasa,business lazima ukamuliwe.Ngoja wajuzi wake.Ingia website ya TCRA utapata yote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom