gluckkcom
JF-Expert Member
- Jun 21, 2019
- 362
- 787
Sisi hatukufanya makosa kuitikia wito wa kusajili lain zetu kwa alama za vidole
Ila makosa yanafanywa na mawakala ambao mmewaamini na kuwapa dhamana ya kutupatia huduma hiyo wananchi
Wana dumplicate data za mteja wa awali na kuzitumia data hizo kuwasajilia wateja wengine sim card huku wakijua kitendo wanachokifanya ni makosa na ni kinyume na sheria
Tamaa zao za kujiingizia kipato kwa njia hiyo wengi tutajikuta matatizoni bila ya kuhusika moja kwa moja ktk makosa ambayo yatafanywa na watu wengine
Sasa sisi wanachi wanyonge tunaomba yafanyike mabadiliko ya mfumo toka huu uliopo wa ufutaji namba ambazo zina mtatiza mteja ambao unamlazimu mteja kwenda moja kwa moja kwenye maduka makubwa ya mitandao husika ili kufanikisha zoezi hilo
Na badala yake mteja aweze kufuta mwenyewe namba hizo hata akiwa nyumbani kwa njia hizi tajwa
/> kuwepo na namba maalumu ya kupiga simu katk mtandao husika na kutoa taarifa ili kufutiwa hizo namba
/> kuwepo na menu maalumu ya kureport namba ambazo mteja #azitambui na kisha kufutiwa
Kwa mfumo huu uliopo ni chamoto kwa tulio wengi kwani tunaishi vijijini na maisha yetu ni tiatia maji na kuzifikia vodashop ,tigo shop,halo shop ni mtihan mkubwa kwani zipo mbali sana na makazi yetu
Kama mm naishi lichinga mpakani mwa tanzania na msumbiji ili kuifikia voda shop ilipo navuka vijiji 15 nauli kwenda na kurudi ni Tsh 50000 bado sija + kula + kulala
Ili nijinusulu na vifungo na paswa kulitekeleza hilo ila je? gharama nitakazo tumia ntalipwa na nan ?
Tafadhari🙏
⚠Uandishi wangu sio mzuri ila tuvumiline tu guys
I do'nt want shit from you 😲✒error correctors