Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi.
Kila nikiweka maandishi yanapita rangi nyeusi, yaani hayaishii kwenye Bodi ya rangi nyeusi. Natumia Adobe Premiere. Mwenye uelewa tafadhali msaada.