msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

    Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na Ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable . Rent ianzie 20-35
  2. JamiiForums Tanzania Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Infinix ipo kwenye safe mode

    Habarini wana jamvi wa JF tech, Bila kupoteza muda niende kwenye swala langu; kuna infinix hapa inaonekana kuna mtu ameichezea afu kaiingiza safe mode, zile applications zote zilizokuwa downloaded hazipo na kuna kinotification hapo juu kinasema simu ipo safe mode. Chonde jamani naombeni...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jamani nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM

    Kama nlivoanza hapo juu nahitaji msaada kwa wanafunzi wanaosoma UDSM au chuo chochote. Ni kuhusu course yangu ya Bachelor of art in language nahitaji kufanya online registration na sielewi nfanye chaguo kwa ktk linguistic na English lang au linguistic na kiswahili? Naomben msaada ushaur wenu n...
  5. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watoto milioni 2 wakosa msaada Tigray

    Maelfu ya watu kutoka Tigray, Ethiopia wamekimbilia Sudan. Umoja wa Mataifa umesema kuwa zaidi ya watoto milioni mbili katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia wamekatizwa na misaada ya kibinadamu huku ghasia zikiendelea. Licha ya makubaliano ya yaliyofikiwa na serikali ya Ethiopia, mashirika ya...
  6. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kunidhulumu ardhi niliyorithi toka kwa mzee. Naombeni msaada wa kisheria

    Niko 'frustrated' naomba mniwie radhi kama uandishi na mpangilio wa hoja yangu utashindwa kueleweka kwenu. Ni hivi, Mimi pamoja na kaka yangu mkubwa tumbo moja na baba tulikuwa tukiishi vizuri lakini uhusiano wetu ulianza kuingia doa baada ya mzee wetu kufariki. Baada ya mzee kufariki...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Nautafuta wimbo wa dini “Unitume mimi”

    Habari za kwenu Wana jf? Msaada tafadhali wa wimbo wa dini jina linaitwa "Unitume Mimi" yani Wanaume kwenye huu wimbo wanaimba kwa sauti kubwa sana harafu ina beat ni hatari, Shida ni ninapo search nakuta nyimbo zingine pia zina jina hilo hilo la Unitume Mimi ila sijajua ni kwaya gani...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada Tutani

    Habari za wakati huu waungwana? Naomba muongozo na ushauri kwa ajili ya jamaa yangu anahitaji kuuza miti yake ya pine iliyopo kwenye shamba la ukubwa wa hekari moja na ina umri wa miaka 5. Muongozo anaohitaji ni juu ya estimation ya price range yaani anaweza pata bei gani hapo na kama...
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

    Habarini za jumapili
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana aliyekulia Bara kupata kitambulisho cha Mzanzibari?

    Habari! Naomba kupata msaada wa kisheria kuwa inawezekana mtu aliekulia Tanzania bara na akawa na vyeti vya kuzaliwa Pamoja na ambavyo vinaonesha ni wa Tanzania bara(Kitambulisho Cha utaifa) kuwa anaweza kupata kitambulisho cha mzanzibari? Bila kusahau cheti cha kuzaliwa cha Zanzibar...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeingia hedhi kila ifikapo tar 21(haibadiliki), mzunguko wake ni wa siku ngapi?

    Habari watu wa JF Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile akisema uko na siku 31. Sasa nakua dilemma which is which. Pia katika kupitia siku hizo za Mzunguko wa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: lenovo y50_70 touch

    Habari wadau...natafuta housing ya computer aina ya Lenovo y50_70 touch..mfuniko wa nyuma na sehemu ya keyboard..au Kama scraper ipo yenye spare parts tuongee biashara pesa ya mfuko wa shati, 0717179040
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

    Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour. Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
  15. JamiiForums Tanzania Civil Engineer natafuta kazi, HR & Project Managers Naomba Msaada

    Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Namba za kuwasiliana na office za Pepsi dar es salaam

    Jamani hii ni wiki ya pili sasa najaribu kuwatafuta mawakala wa soda za Pepsi nashindwa kuwapata Naitaji soda cret Mia moja, Kila ninavyojaribu kupiga kwa namba zao ambazo ziko mitandaoni huwa zinaita tu bila kupokelewa Naomba msaa kwa yeyote ambae anajua naweza kuwapata vipi hawa jamaa na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kanguru wanafukua mahindi shamba lote

    Jamani dunia inamajaribu kila ukijaribu kujikwamua kinaibuka kikwazo ufeli, Kunguru wanafukua mahindi yanayoanza kuota, wamekula shamba zima. Mwaka Jana panya walikagua kula mstari na kula mahindi yote niliopanda.Msaaada wa kuwadhibiti hawa viumbe. Panya nilijaribu kumwaga mahindi ya sumu...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni wapi salama kuweka vitu kwenye disc gani kwenye laptop?

    Wakuu binafsi nna disk moja tu local disk c. Na vitu nimeviweka hapo lakini naskia sku window ikizingua ukirepair kila kitu kinaenda je ni wapi salama?nizihamishe? Mwanzo nilikuwa nmeweka kwenye folder la desktop, ila nikaambiwa ni hatari.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kwa tukio la ajali hii

    Habari wana JF, Naomba msaada kueleweshwa juu ya jambo hili kuna ajali iliyo husisha bajaji 2 za kubeba abiria moja ikiwa inatokea upande A na nyingine upande B, zilipokuwa zimesogeleana kupishana iliyo kuwa ikitoka upande B ikapata ajali ya kugonga punda na kumrusha mpaka upande wa pili wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Majina ya ndege wafuatao kwa lugha za asili

    Kama title inavyosema hapo juu. Ningependa kufahamu majina ya ndege wafuatao kwa lugha yenu ya asili. Unapotaja, naomba unijuze ni jina la kabila lipi. Vile vile nimejaribu kuweka majina yao ya Kiswahili (in blue). Sina uhakika wa 100% kama ndivyo wanavyoitwa kwa Kiswahili. Hivyo basi, kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…