msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria; Ni muda gani unaruhusiwa mtu kukata rufaa kutoka Mahakama kuu kwenda Mahakama ya rufaa kwa kesi za madai?

    Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa. Swali langu linajengwa na case ground ifuatayo japo kwa ufupi sana. Mnamo mwaka 2014,Jamaa yangu Mjasiriamali aliomba na kupewa...
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

    Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run. Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

    Habarini wana jamvi. Nimeamua kuja hapa kuomba ushauri kwa hili swala. Nimeona nije kwa watu wasionifahamu ili kuondoa "conflict of interest" Straight kwenye mada, kuna biashara nimekua nikifanya kwa muda wa mwaka mmoja sasa. Nilianza from scratch mwenyewe bila msaada kutoka kwa mtu yeyote...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa free educational websites

    Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri. Napenda...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada ugonjwa wa kuku

    Huu ni ugonjwa gani..kuku anakua kazubaa na akisinzia kuna mda kichwa kinageuka kama hivo..hizo dalili amekaa nazo kwa siku 2-3 hivi Kinyesi chake ni cha njano chenye maji mengi picha ipo hapo. Ni kifaranga chotara.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya nauli ya Dar to Arusha

    Wana Jf natarajia kusafiri Alhamisi 24/12/ 2020. kwenda arusha nilikuwa naomba kujua nauli zikoje kwa basi na daraja lake! Ukizingatia nauli za Dar to Arusha naskia huwa zinapanda msomi huu wa sikukuu! Natanguliza shukran
  7. JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani ya kumsaidia binti aliyeolewa akiwa na umri wa miaka 15?

    Habari zenu waungwana, Kuna binti kaniomba msaada ila nashindwa kwa sababu ya umbali. Tatizo lake ana umri wa miaka kumi na tano ila ameolewa kwa nguvu sababu wazazi wake wametangulia mbele za haki, namaanisha wamekufa wote -- baba na mama yake. Aliyekuwa anaishi naye ni shangazi yake ndiye...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Wadau PC yangu haifungui Browser yeyote ile

    Habari, Wadau PC yangu (Dell) haifungui browser yeyote ile mfano Mozilla, opera na Google chrome. Nifanyeje?
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya benki zilizofungiwa kwa sababu ya kuwa chini ya kiwango?

    Habr, Waungwana naomba msaada juu ya hatima za mabank zilizo fungiwa kwa sababu ya kuwa chin ya kiwango.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Nisaidieni namna ya ku-skip Instagram story yenye tag ya jina au post

    Habarini, Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje Nawasilisha, Nawategemea.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni ipi shule nzuri ya wasichana kwa mikoa ya Dar au Pwani?

    Salamu wakuu Wataalamu naombeni mwenye kujua shule nzuri na affordable hapa Dar es Salaam au pwani ya wasichana. NB Mtoto kasoma shule za serikali St. Kayumba Natanguliza shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada laptop aina HP 650 imegoma kuwaka

    Kwema Viongozi, Laptop yangu haiwaki kabisa. Naombeni kujua shida inaweza kuwa ni nini? Nimejaribu kubadili charger lakini hakuna mabadiliko. Nb ni ina 8yrs now hp 650
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam

    Wapi naweza kupata tablet nzuri kwa Budget ya laki nne?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: National Housing-Upanga&Posta, Dar

    Habarini wadau! Naombeni connections, natafuta space kwa hizo nyumba. Asanteni!
  15. JamiiForums Tanzania Msaada king'amuzi cha Azam

    Nikiwa home muda huu niijulie dunia hali ghafla nakuta madudu AZAM TV. WASAFI TV inaonesha na ndo chanel ya kwanza kufunguka na sijailipia. Nikazima na kuwasha sasa naona inajibonyeza bila mpangilio tena bila hata matumizi ya rimoti. Shida nini wajuvi nisaidieni
  16. K

    JamiiForums Tanzania Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali. Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection field ya Social Sciences

    WAKUU HABARI ZENU Kutokana na tatizo la Ajira ofisi nyingi wanataka watu wenye experince angalau ya mwaka mmoja na mimi sina huzoefu wowote. Kwaiyo nawaomba member wote wa field ya SOCIAL SCIENCES mnisaidie kupata sehem ya kujitolea tu namimi nipate hujuzi angalau kidogo. Nimesoma BA IN...
  18. JamiiForums Tanzania Wadau naombeni Msaada please. Nimepatwa na Janga

    Ni week sasa nipo jiji la Mwanza kwa mapumziko ya mwisho wa Mwaka. Nina sehemu nimeweka kakibanda na ufugaji na mapumziko pia. Leo nmeamka asubuhi mmoja ya Mbwa wangu kapoteza ghafla uwezo wa kuona. Mbwa wapo wawili.hawakugombana na huwa hawana tabia ya kugombana. Hajaumia popote pale ila...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuunganishwa na wadau mbalimbali wa masuala ya muziki

    Acha niende moja kwa moja kwenye point Wakuu nahitaji msaada wa connection kwa wadau mbalimbali wanaojishughulisha na suala la muziki namaanisha producers nk Shukrani 🙏
  20. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutoa pesa Neteller and Skrill to Tanzania mobile networks

    Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…