msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania, mbona mumefyatuka namna hii kisa mzungu kahoji mlivyotumia msaada aliyowapa dhidi ya Corona?

    Mbunge mmoja kule Ulaya alihoji vigezo vilivyotumika kuwapa Watanzania msaada wa hela dhidi ya Corona ilhali wao Watanzania walishasema walipona Corona kwa kupitia maombi ya siku tatu. Dah! Naona Watanzania wamejibu kwa hasira, povu zinawatoka, mishipa imevimba. Hehehehe! Hapa hii video waziri...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi wenzangu mnaweza kuingia Twitter kupitia laptop/Kompyuta?

    Habari zenu wakuu, Nimekua nashindwa kuingia Twitter kupitia laptop yangu, je hili tatizo lipo kwangu tu au kwa kila mtu? Kwenye App ya simu inakubali fresh tu
  3. JamiiForums Tanzania Matapeli wa kisiasa waliopoteza chanzo cha mapato wanatafuta msaada kwenye tuta

    Tunajua fika CHADEMA na Act wazalendo ni vyama ambavyo kwa ushahidi wa wazi kabisa ambao hauna chembe kuwa ni vyama vya wasaka matonge. Wao kuweka pesa mfukoni ndio lilikuwa jambo la kwanza kuliko maslahi ya Tanzania na raia wake. Tulishuhudia Zitto Kabwe akizurula Ulaya na Usa na kunadi kuwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua kuinstall nexus na kufanyia setting zake naomba anisaidie

    Samahan kwa anayejua kuinstall nexus na kufanyia setting zake zote kwenye maana mm na ina nishinda kufanyia setting kama kuna mtu anajua naomba anisaidie step by step.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufungua akaunti zangu

    Wana jf habari zenu, naomba msaada wa akaunti zangu za biashara facebook na instagram zimefungwa . Akaunti ya facebook ads ina andika disbled na akaunti ya instagram ina andika no premission.naomba msaada kazi zangu zimekwama namba zangu 0677423349 naitaji kusaidiwa msaada nisaidieni
  6. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

    ndugu wana jf, nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu. pia mwenye idea na strategic business proposal naomba anisaidie. natanguliza shukrani.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wadau

    Habari wana Jf, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa, kuna mtu anahitaji msaada wa haraka sana ameniomba namba ya kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds ili aweze kupata msaada kutoka kwa watanzani, Asanteni
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaotumia WhatsApp

    Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha. Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo nilimtumia mtu zikagoma kuna maneno haya hapa chini inaandika na mimi sijajua tatizo ni nini,,kuna audio...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Biometric attendance

    Wakuu habari, Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye viwanja mjini DAR, ninahitaji kununua eneo

    Ndugu zangu maisha haya kuna wakati inatakiwa mtu ukubali tu kuna waliokutangulia na ujishushe uombe msaada wao na ndicho ninachokifanya hapa kwenu ndugu zangu, nimejitahidi katika kuhangaika na maisha huku na kule vibarua na viajira nimepata kiasi cha 1M nimekuja kwenu ndugu zangu wenye viwanja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Sheria 2020/2021 naomba msaada nipate ajira/kujitolea

    Habari ndugu zangu. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu kimoja hapa Tanzania mwaka 2020/2021. Nipo mtaani kwa sasa lakini hari imekuwa ngumu sana kwani sijapata sehemu ya kujitolea au ajira ila nipate kulipa baadhi ya bills zinazonikabili. Nimekuja kwenu ndugu zangu...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Ku Unlock Router Vodafone r207-z

    Habari wakuu, ninaomba msaada wa ku unlock hii vodafone router (vodafone R207-Z) ili niweze kutumia mitandao yote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wako natafuta kazi Bsc Computer Science

    thread closed
  15. T

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

    Naomba msaada wakuu Najaribu kuingia kwenye account ya HESLB lakini inagoma, ni tatizo la wengi au ni miimi pekee.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada, kuhusu Kusoma CPA

    Kwema Ndugu Zangu? Mimi ni Mhasibu, elimu yangu ni Degree ya Uhasibu. Nimefanya kazi mbalimbali za uhasibu lakin naona kama nahitaji kusoma zaid, ili nipate changamoto mpya zaid na pengine majukumu mapya zaid katika fani hiihii ya Uhasibu. Nilichopanga ni kusoma CPA. Sasa msaada naouhitaji ni...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Jean Baptiste Bhokasa ilipokosa pesa ya kujiendesha alipata msaada wenye masharti kutoka kwa Gaddafi

    Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon. Bhokassa alikua mfujaji sana wa pesa, aliishi maisha ya anasa sana. Wapinzani wake waliuliwa kama kuku.. Alipoamua...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi au kujitolea ya Assistance accountant

    Habari wana jamvi. Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu. Hana uzoefu wa kazi ya uhasibu yoyote ,ila ni muelewa wa haraka na yupo tayari kujitolea mkoa wowote tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nina cheti cha IT, natafuta kazi

    Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…