"Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,743
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za Ulaya na Marekani katika kudhibiti tatizo hili.

Kuna haja ya kuwafundisha namna ya ku deal na mambo kama haya lakini pia kwa sababu wameyumba kiuchumi na kwa makusanyo yetu kwa sasa yamekuwa makubwa si mbaya kama pia tutawawezesha kiuchumi.

Hii siku naisubiria sana ambayo Kichwa cha Habari cha chombo fulani cha habari kitakuwa na maneno hayo kwenye heading.

Tumpe Magufuli miaka hata 30 mitano tena ni michache.
 
Maisha ni mzunguko, leo unacho, Kesho huna, Stashangaa siku moja Taifa kutoka Africa likitoa Misaada nchi za ulaya na Marekani!

Mungu si wawazungu pekee
 
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...

“Chizi maarifa ndo jina lako - sina cha kukulaumu, ukijitahidi sana!
 
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Umelewa bila shaka.shule kichwani huna.hujui chochote kuhusu uchumi wa dunia.
 
Uzuri hata rais JPM anawajua wanafiki kama wewe.Angalia wanafiki wenzio km Makonda na Lugola,sijui wewe ni nani!!!!
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
 
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Kuna tofauti Kati ya ujinga na upumbavu, wewe unaangukia sehemu ya 2.
 
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Haha is this a joke? no disrespect kwa nchi yangu. But this is trash in many ways. America walisha hitaji msaada wowote kutoka tz? walishawahi kuomba msaada wowote?

Tusitumie majanga kama kadaraja cha kupata cheap popularity. Kila nchi inapambana inavyoweza. Kiuchumi ndio kabisa tunasafari ndefu kuwafikia.
 
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za ulaya na marekani ktk kudhibiti tatizo hili...
Labda msaada wa malimao na tangawizi
 
Back
Top Bottom