MSAADA: Jinsi ya kubadili jina

Kuna jamaa angu alizaa na mwanamke mmoja hv wakat huo hawakua na maelewano mwanamk kwa kukomoa akaandika jina la kwao ss hv wamefunga ndoa kbs ndo anataka kubadil jina
 
Kwa kipindi chote hakuna kidume kilichokuwa kinahudumia na kikahusika kwenye hilo jina la mtoto baada ya kukataliwa??? Vinginevyo kama yupo anaweza Ku claim mpaka mkafika kwenye DNA. Lakini kama unaona hakuna challenge mbele yako kutoka mlezi yeyote, ingia mahakamani upewe utaratibu wa kukana jina lililopo na kuapa jina jipya!! Baba wa mtoto anayemjua ni mama wa mtoto.....mwache yeye afanye hayo
 
Jina libadilishwa kisheria kwa kutumia document iitwayo Deed poll...ikishaandaliwa na mwanasheria unaipeleka kwa msajili wa nyaraka kwa ajili ya mchakato wa kuchapisha badiliko la jina kwenye gazeti la serikali.

Muone mwanasheria akuandalie deed poll ambayo itaeleza majina anayoyakana, yaani majina ya awali na majina mapya anayotaka kutambuliwa nayo..na sababu za kubadili majina husika.
 
Naomba kujua utaratibu wa kubadilisha jina kwa mtoto au mtu mzima
Jina linabadilishwa kwa kufanya yafuatayo;

(1) Tengeneza document inaitwa Deed Poll na zalisha nakala kama 6 au zaidi.

(2) Deed Poll ishuhudiwe na Kamishna wa Viapo ambaye aghlabu ni wakili, hakimu na Jaji.

(3) Deed Poll isajiriwe kwa msajiri wa Nyaraka ambaye yuko Wizara ya Ardhi.

(4) Deed Poll italipiwa ada ya usajiri kwa ofisi ya msajiri wa Nyaraka

(5) Baada ya kusajiri Deed Poll basi hiyo Deep Poll ichapishwe kwenye Gazeti la Serikali N.B. Maombi ya kuchapisha deed poll kwenye Gazeti la Serikali yanafanyika Wizara ya Utumishi wa Umma.

Kwa kufanya haya utakuwa umekamilisha mchakato.
 
Mkuu unaweza nipa.procedure ama requirements za hapo namba 4
 
Back
Top Bottom