Msaada; Kuhusu mnara huu mdogo

Jitu Kabeja Diggala

Senior Member
Apr 12, 2015
106
250
Mambo vp wakuu?

Naomba kufahamishwa na wajuvi kuhusu huu mnara na wapi naweza upata hapa Tanzania na kwa bei gani?
IMG_20201230_115310.jpg
IMG_20201230_115357.jpg
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,073
2,000
Nah
Unahitajika kwaajili ya kituo kidogo cha redio mkuu
Mkuu Minara na hizi nguzo za kuweka antenna za Radio zinatengenezwa kwa kufuata
1.aina na uzito wa hiyo antenna
2.uzito wa mnara wenyewe na Urefu wake
3.wind Loading hali ya upepo na aina yake sehemu utakao fungwa mnara.
na pia lazima ufungwe aviation Light (taa ya kutoa tahadhari kwa marubani wa Ndege wanapopita nyakati za usiku)
sasa kama urefu aujulikani ni shida kidogo,please fafanua zaidi tukupatie mnara unaostahili
 
Jitu Kabeja Diggala

Senior Member
Apr 12, 2015
106
250
Mkuu Minara na hizi nguzo za kuweka antenna za Radio zinatengenezwa kwa kufuata
1.aina na uzito wa hiyo antenna
2.uzito wa mnara wenyewe na Urefu wake
3.wind Loading hali ya upepo na aina yake sehemu utakao fungwa mnara.
na pia lazima ufungwe aviation Light (taa ya kutoa tahadhari kwa marubani wa Ndege wanapopita nyakati za usiku)
sasa kama urefu aujulikani ni shida kidogo,please fafanua zaidi tukupatie mnara unaostahili
Antenna haina uzito wa kutisha mkuu,approximately 6kgs na urefu wa hiyo monopole uwe 25 meters pekee,
Hali ya upepo siyo ya kutisha make ni maeneo ya shinyanga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom