Msaada tafadhali kuhusu Kikuu

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari za humu Watanzania? Samahani nimeingia kikuu ili kuona kama kuna kitu naweza kuchukua ila kuna vitu sijavielewa vizuri ni kuhusu hizo voucher sijaelewa kabisa zinakuwaje kuwaje?

Screenshot_20210105-091756.png
msaada tafadhali
 
Hawa kikuu siwaelewi kwa kitu kimoja. Kwa nini soko limejaa tu nguo, urembo na vitu vidogo vidogo na hakuna vitu vikubwa kama zana za kilimo na viwanda? Je ni kwa sababu wanaona sisi hatuna uwezo wa kununua? Wanakwepa gharama za usafirishaji? Serikali inawabana au ni nini hasa?
Maana na sisi tungependa kupata vitu vya kufanyia uzalishaji ili kuinua uchumi wetu sio urembo tu. Kiukweli hata ukisachi kompyuta tu Kikuu haimo!
 
Back
Top Bottom