Hamn io option kiongozi
Sawa sawa ...sasa vipi kwa io android version inatoboa 2021 kwenye matumizi maana nimesikia kuna version azitoboi 2021Relax utapata updates with time. Ila tambua kuwa kwakuwa ni simu zilizoanzaga 2018 ina maana zitaishia android 10 hazitofika android 11.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kuna mwana tu alikuwa Dubai kanitumiaumenunua wapi?
dubai!? R.I.P mkuuKuna mwana tu alikuwa dubai kanitumia
Sasa naitoaje io kiongoziSimu yako inayo custom rom hivyo huwezi ku update. Hapo ni kutoa hiyo rom kisha weka official rom ya samsung.
Kwann bossdubai!? R.I.P mkuu
Unatakiwa kufanya mwenyewe maana ni kinyume na sheria now, angalia hapa -Sasa naitoaje io kiongozi
Unatakiwa kufanya mwenyewe maana ni kinyume na sheria now, angalia hapa -
Kwenye settings karibia na chini kule hamna hyo option? Ni refurbished au?Hamn
Hamn io option kiongozi
Ni kinyume na sheria kuflash stock firmware? Tangia lini?Unatakiwa kufanya mwenyewe maana ni kinyume na sheria now, angalia hapa -
Hapo mkuu ni kuflash official firmware tu. Note 9 ipo kwenye android 10 OneUI 2.5 sasahviSasa naitoaje io kiongozi
Ni kinyume na sheria kuflash stock firmware? Tangia lini?
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Mm najua kubadilisha IMEI number ndio kinyume na sheria. Sio kuflash simu. Kma ni kiflash official firmware basi hii nchi tutakua na sheria ya kipumbavu haijawahi tokea dunianiKuflash simu ndio kinyume na sheria.
Yaah refurbishedKwenye settings karibia na chini kule hamna hyo option? Ni refurbished au?
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kuflash simu ndio kinyume na sheria.