msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya uzalishaji wa pombe kali

    Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie. Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji. 1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake 2. Machine zinazohitajika kuanzia hatua ya mwanzo hadi mwisho kwenye packaging. upatikanajI wa machine na bei...
  3. JamiiForums Tanzania Kitunguu kimekua msaada mkubwa katika kupambana na matatizo ya kifua na njia ya hewa

    Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya kifua kwa u jumla. Tumia kitunguu muda wowote ule, kama unakohoa sana weka vipande vya vitunguu ndani...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa Application ya kutransfer text message kwenye iphone

    Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
  5. JamiiForums Tanzania Nimevuna nazi takriban 8000, natafuta madalali wa nazi soko la Ilala na Temeke Stereo

    Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara. Thanks
  6. O

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua kipengele cha malipo ya likizo "incidental expenses on journey"

    Wasalaam wana JF Najua humu kuna wajuzi na wataaluma wa mambo mbalimbali. Nataka kujua kuhusu malipo ya likizo. Kuna hiki kipengere cha "Incidental expenses on journey" kina hitaji mwajiriwa alipwe katika mazingira yapi, maana kuna anaye safiri siku tatu ndipo anafika kijijini kwao hasa msimu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji msaada wenu wa mawazo

    Habari za wakati huu wapendwa, Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo. Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila tulivoulizia gharama za kujifungua tumeambiwa zinaweza kufikia hadi millioni6 au 7 in case kama kuna...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wa kwenye mitandao, ombeni msaada kwa Wakenya namna ya kupambana na mabeberu. Mnatia huruma

    Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati. Ombeni msaada...
  9. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Ngiri (Hernia), Dalili na tiba yake

    Wakuu, Habari ya kazi. Nilikuwa Bugando kwa ajili ya kufanyiwa kipimo kinachoitwa endoscopy. Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo Esophagus – MILD DISTAL OESOPHAGISI 2”/HIATAL HERNIA Stomach - HIATAL HERNIA Duodenum – NORMAL Final Diagnosis - GERD 2” HIATAL HERNIA Sasa WIKI IJAYO...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada naombeni kujua bei za frem ya miwani ya macho

    Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz. Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama)

    Habari ya usiku viongozi? Samahani, naomba kujua utaratibu kisheria uko vp kwa mwanaume aliyeachana na mwanamke huku wakiwa wamezaa wore. I mean sheria inasemaje kuhusu matunzo and specifically kwa watoto (gharama). Mimi ni mtumishi niko kwenye NGO moja hapa kwetu (Tanzania). Note: Nina watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa Hichi Kiduara

    Habari wadau..yeyote anaeweza kunisaidia kutoa hicho kiduara kwenye simu yangu , kinatokea kila ninapotap. Simu ni SamsungA01. cc Chief-Mkwawa
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi napata msaada wa kuchapisha kitabu changu

    Habari wakuu. Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha. Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sijalipwa mshahara miezi 8 na mkataba sipewi napewa posho tu msaada jamani wapi nipeleke malalamiko?

    Habari samahani naomba kuuliza kwa mtu anae elewa hili swala kama mtu umeahidiwa mkataba na boss na hataki kutoa mwisho wa siku zaidi ya mwaka hujapewa mkataba na unapewa posho tu napo akijisikia hivi swala kama hili wapi naweza toa lalamiko na nikasaidiwa kisheria.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Chuo gani Dar kinafundisha Ufundi pikipiki?

    Msaada kwa anaefahamu veta inayofundisha ufundi wa pikipiki kwa DSM
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu App ya namna hii

    Wakuu kuna app ya kufanya manunuzi ambayo mtu ata deposit pesa alafu anaifanyia manunuzi kama ilivyo app za sport betting mtu anaoder bidhaa na pesa inakatwa pale kwenye wallet yake ? Mwenye anajua uwezekano wake na budget yake ipoje MSAADA TAFADHARI
  17. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, Simba SC watalazimika kuacha mchezaji wa Kigeni?

    Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza? Wawa Onyango Chama Bwalya Luis Kahata Kagere Mugalu Morrison Lwanga Chikwende
  18. JamiiForums Tanzania Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

    Heri ya Mwaka Mpya. Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana, Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari...
  19. JamiiForums Tanzania Jamani Modem yangu imekufaje MSAADA

    Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

    Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…