Msaada naombeni kujua bei za frem ya miwani ya macho

canular

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
744
1,000
Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz.

Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
 

Whackiest

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
798
1,000
Inategemeana na macho yako. Yana uoni hafifi kias gani kam mimi ni tatu kwa. Sasa navaaa ya mbili nani. Shiling 55000 na hii kwa miez sita sita tenah narud kufuat 2.5 sita tenha 3 ndio mwish hapo Koo beii inaendan na jinsi tatz na umri piah frem.

Za watoto ni bei ndogo.
 

Mildotty

JF-Expert Member
Jun 29, 2016
247
250
Wakuu naomba kujua bei za frem za plastic za miwani ya macho ni bei gani na ninaweza kununua frem za kawaida nikapeleka waka weka lenz.

Pia naomba kujua bei halisi ya miwani ya macho ya MTU asie ona umbali mrefu.
It depends huoni kwa umbali gani kwa sababu na lens zinatofautiana Bei kutokana na ukubwa wa namba ya lens

Apart from that Bei itatofautiana pia depending na kwamba unataka lens ya kioo ama plastic,..

Frame za miwani zipo kila mahali saivi inategemea tu ww uko sehemu gani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom