MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,757
- 48,403
Kawaida mabeberu na vyombo vyao kama CNN wakijikanganya na kuingia kwenye kumi na nane za Wakenya, huwa wanakiona cha moto na kutengua kauli zao. Naona Marekani wameanza shughuli dhidi ya Watz kwa kusindika kura kwenye uchaguzi uliopita, ila sasa mataga wanajibu bila mikakati.
Ombeni msaada kutoka kwa Wakenya wa kwenye mitandao muone itakavyowaka moto na ndani ya masaa machache Marekani watawaomba msamaha, ila mkiendelea wenyewe hivi mnajiabisha maana mtapuuzwa tu.
Poleni bandugu ila hiyo issue ya uchaguzi naona kama haitawatoka hivi hivi tu, japo nakosa kuwaelewa Marekani mbona hawajasema vya Uganda ambapo demokrasia imebakwa mchana kweupe.