Chuo gani Dar kinafundisha Ufundi pikipiki?

Pikipiki sidhani kama Kuna VETA wanafundisha.

Nenda Kilwa Road pale Polisi Ufundi kwenye chuo Chao Kuna kozi ya udereva pikipiki, pale wana karakana kubwa ya kutengenezea pikipiki za Polisi(Zile BMW za escort) na magari.

Unaweza ukaongea nao usome udereva huku ukijifunza na ufundi pikipiki. Kama unataka ufundi wa pikipiki ndogo Bora utafute gereji za mtaani.
 
Sawa kk nashukulu kwa maelz yako mazur ntaenda kuulizia ila mtaani tayr nimejifunza nilitk kwenda kumalizia Veta ili niwe bora zaid sasa kama Veta awafundishi iyo ni changamoto.
 
Sawa kk nashukulu kwa maelz yako mazur ntaenda kuulizia ila mtaani tayr nimejifunza nilitk kwenda kumalizia Veta ili niwe bora zaid sasa kama Veta awafundishi iyo ni changamoto.
Mtaani umetengeneza Sana pikipiki za kichina ambazo nyingi zinatumia push rod engine au za mhindi kama TVS na Boxer zinazotumia Timing Chain.

Kama umekuwa vizuri kwenye hizi pikipiki ndogo zilizo sambaa hapa Tanzania. Jitahidi ujifunze hata za 2-stroke engine ingawa si nyingi ili kuongeza ujuzi.

Zaidi Kwa sasa kama ukijifunza pikipiki zenye fuel injection system itakuwa umelenga mbele zaidi, siku Hizi bike kubwa hazitumii mfumo wa kabuleta. Mafundi wengi wa pikipiki mfumo wa fuel injection unawasumbua ukipeleka bike za namna hiyo.

Pambana Sana ujue ufundi pikipiki za Aina mbalimbali sio na uwe na maarifa tofauti.
 
Ni kweli Kaka unayosema yani umepita mle mle ujakosea ndo nama nilikua natafut Veta nikaongeze ujuz
 
Back
Top Bottom