Msaada kuhusu App ya namna hii

Erasto Jr

New Member
May 29, 2020
4
3
Wakuu kuna app ya kufanya manunuzi ambayo mtu ata deposit pesa alafu anaifanyia manunuzi kama ilivyo app za sport betting mtu anaoder bidhaa na pesa inakatwa pale kwenye wallet yake ?

Mwenye anajua uwezekano wake na budget yake ipoje MSAADA TAFADHARI
 
Roughly 100mil hivi kama unatarajia kutumia Mobile Money. Kama 2Bil hivi kama unataka kwenda full fledged.
 
Back
Top Bottom