Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
6,702
8,480
Heri ya Mwaka Mpya.

Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,

Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza

Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari ni mpya-imeingia October) nikasema Okey nikanunu bearing za mbele zote lakini tatizo halikuisha, ni gari ambalo difu nipo kwenye tairi za mbele(inavuta mbelel)

Mvumo wenyewe ni vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm.

nimepitia mada mbalimbali lakini sirodhika na majibu

Hii Kwangu haijaleta majibu Chanya
PICTURE 1.PNG

Boeing 747

RRONDO
 
Jinsi inavyovuma , huo mlio, itakuwa unapiga resi boss lol.

Angalau ungesema unahisi mlio usio wa kawaida unatokea wapi, kwenye hood, matairi au chini ya gari. Ni mlio kama wa vyuma kusuguana? Ni mlio unachangamana na revs za injini, ni mlio unaosikika gari ikinesa au kupita kwenye makorongo, ni mlio unaotokea ukikanyaga breki wakati gari inatembea?

vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm

Ikiwa ina idle au iko kwenye gear/mwendo?
 
Sihisi, nausikia, ni mlio ambapo gari inatembea unatokea ikiwa 80+ speed
 
Chek exhaust itakuwa inavujisha au imeziba. Fanya service ya exhausit yale masizi yakiidi utafikia wakati ukigusa tu acceleration unasikia mlio.
 
Mkuu hiyo gari inakuheshimu na kukupenda as long chini ya speed 80 haivumi mwendo unatosha, spidi 80+ si salama sana!
 
Heri ya Mwaka Mpya.

Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,

Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza

Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari ni mpya-imeingia October) nikasema Okey nikanunu bearing za mbele zote lakini tatizo halikuisha, ni gari ambalo difu nipo kwenye tairi za mbele(inavuta mbelel)

Mvumo wenyewe ni vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm.

nimepitia mada mbalimbali lakini sirodhika na majibu

Hii Kwangu haijaleta majibu Chanya
View attachment 1678595

Boeing 747

RRONDO
Mara nyingi mvumo husababishwa na gari kukatalia kwenye gear wakati RPM inahitaji gear kubadilika. Sasa huenda bearing ulizobadili hazikuwa nzuri hivyo jaribu kubadili mfumo mzima wa miguu ya mbele yaani hub za pande zote mbili. Pia angalia gearbox oil kama ulibadili na ukaweka ambayo siyo recommended
 
Kafanye wheel balancing. Na kama gari inavuta upande moja pia fanya wheel alignment
 
Heri ya Mwaka Mpya.

Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana,

Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza

Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari ni mpya-imeingia October) nikasema Okey nikanunu bearing za mbele zote lakini tatizo halikuisha, ni gari ambalo difu nipo kwenye tairi za mbele(inavuta mbelel)

Mvumo wenyewe ni vuumm,,,vuuuuummmmm,,,,vuuuummmm.

nimepitia mada mbalimbali lakini sirodhika na majibu

Hii Kwangu haijaleta majibu Chanya
View attachment 1678595

Boeing 747

RRONDO
Ilianza kuvuma lini? Tuanzie apo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom