Wakuu wapi napata msaada wa kuchapisha kitabu changu

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,577
15,337
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.

Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.

Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.

Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.

Igweee!!!
 
Nenda Mkuki na Nyota kamtafute dada anaitwa Godance Andrew atakusaidia.
Lakini unavyoenda mpelekee manuscript yako iliyoandaliwa vizuri.

Halafu ukifika pale tabia zako za UVCCM na Awamu ya tano weka pembeni,
Ukifanya hivyo kazi yako itawekwa kapuni na utajutia nguvu zako.
 
Hahaha haya Mkuu. Huwa sina wasiwasi na maelekezo yako.
Wewe ni mtu Mkubwa sana na mjuvu wa mambo mtambuka sistahili kulegeza gidamu za ufahamu wako
 
Mkuuu,unaweza fanya self publishing au ukafanya na Publishing company.Unaweza pia ukafanya electronic Publishing ukakitoa kwa njia ya Amazon ama njia nyingine mbadala.Je lengo lako ni kutengeneza pesa?Peleka Amazon.
 
Habari mm ni printer , naprint vitabu, business cards, id cards, Tshirts , calendars, banners, wedding card nk mkuu wasiliana nami pm au nitumie namba yako tuwailiane
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.

Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.

Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.

Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.

Igweee!!!
 
Habari mm ni printer , naprint vitabu, business cards, id cards, Tshirts , calendars, banners, wedding card nk mkuu wasiliana nami pm au nitumie namba yako tuwailiane
Asante. Toa tu location ya ofisi ilipo nitakuja. Kwa manufaa ya wengine pia, Tutawasiliana pia
 
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.

Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.

Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.

Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.

Igweee!!!
Mkuu habari? Ukihitaji Android application kwaajili ya kitabu chako naomba tuwasiliane +255759702766

Wateja wako wataweza kununua kitabu chako online kwenye play store App na watakulipa kwa mpesa,tigo pesa au Airtel money.

Hii itakuwa Ni njia rahisi ya kuwafikia watu unaohitaji wapate kitabu chako
 
Mkuuu,unaweza fanya self publishing au ukafanya na Publishing company.Unaweza pia ukafanya electronic Publishing ukakitoa kwa njia ya Amazon ama njia nyingine mbadala.Je lengo lako ni kutengeneza pesa?Peleka Amazon.
natilia mkazo hili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuuu,unaweza fanya self publishing au ukafanya na Publishing company.Unaweza pia ukafanya electronic Publishing ukakitoa kwa njia ya Amazon ama njia nyingine mbadala.Je lengo lako ni kutengeneza pesa?Peleka Amazon.
Watu wanasema amazon hailipi kwa vitabu vya kiswahili.
 
siku hizi hardcopy sio ishu weka kwa elecronic tupia amazon,vyote hivi unafanya nyumbani kwako na laptop yako, u can do this even while having sex :p
 
Watu wanasema amazon hailipi kwa vitabu vya kiswahili.
Mkuu watu wanasema.Peleka kitabu kule kisha uone kama kinalipa au hakilipi.Mkuu kila mtu ana fursa zake na bahati yako.Kama kitabu chako hakilipi amazon basi hata huku mtaani hakitalipa.
 
Habari wakuu.
Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha.

Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya 3500 na 5000.

Sasa
Sijui wapi pa kuprint kwa bei Rafiki kwa DSM.
Sijui wahariri wakisaidia katika kesi kama yangu ya gharama ya chini.

Mnijuze, nyie ndio JF dictionary ya taifa.

Igweee!!!

Mtafute Yericko Nyerere atakusaidia na kukupa muongozo.
 
Vitabu gani vyenye soko huko Amazon?

Short stories za watoto vipi zinauzika?

Vitabu vya Q&A za primary education vipi?

Vitabu vya ujasiliamari?
 
niko kongo/ nahoro napatikana hapo
Mimi niliye huku Kasulu unadhani haya maelezo yamejitosheleza?

By the way, nadhani huko ni Dar es Salaam. Jaribu kutoa maelezo professionally address.

Tanzania ni kubwa sana, Dar es Salaam ni kadude kadogo sana sio kila mmoja wetu yupo na ataelewa.
 
Mkuu watu wanasema.Peleka kitabu kule kisha uone kama kinalipa au hakilipi.Mkuu kila mtu ana fursa zake na bahati yako.Kama kitabu chako hakilipi amazon basi hata huku mtaani hakitalipa.
Soko la vitabu vya bongo kule sio kubwa labda kama unafanya mambo yako mengine kule upeleke just as side hustle. Ila kama unaishi kwa kuandika vitabu sidhani kama unazungumza ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom