Hello, natumai wote ni wazima.
Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi?
Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa...
Habari zenu jf members !
Mimi ni graduate wa B.sc in Irrigation and water Resources Engineering.
Nilikua naomba msaada wa kupata maelezo ya kina kuhusu hii programme ya SEAP iliyo chini ya Engineers registration body (ERB).
Nimekuwa registered as Graduate Engineer by ERB kwa huu mwaka na kuwa...
Habari zenu mm ni mwanafunzi wa diploma medicine CMT. Kwa sasa nipo level 5 sem ya kwanza mwaka jana nilivyokuwa level 4 sem two nilipata supp ya pathology ambayo nilifanyia mtihan huu wa nacte ulioisha wa feb 2021 kama supplementary.
Kwahyo nilikuwa na soma level 5 huku nkiwa na supp moja ya...
KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA
Na: Celina Mwakabwale
Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
Wakuu
Sehemu ya mbele ya kichwa yaani fore head ama tuite kipanda uso panauma sana siku ya 4 sasa shida ni nini? Na wala sina Mafia Nina kikohozi tu kidogo ..napata tabu kufanya shughuli zangu maana nikiinamisha sura chinj niandike document yoyote napata maumivu sana
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na
1.wajumbe wake
2. Ikidi
3. Meza kuu wanakaa watu gani
4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka
5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
Wakuu leo asubuhi, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini.
Nifanye nini?
Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla.
Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake.
Babu Tale amesema msaada...
Simu yangu ni Tecno K9.
Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka.
Please assist.
Nimenunua simu mpya, nikaweka line zangu toka simu ya zamani. Nikakonect internet na whatsapp, loh! whatsapp zangu contacts ma msgs hazikurudi. Nifanyeje?
Habari zenu ba ndugu.
Naomba msaada kunauzi nautafuta, nmeusahau jina japo maudhuhi yake nayakumbuka.
Uzi ule unahusu maneno ambayo unaweza ya tumia iliuende sawa na watu yani ni maneno ya kawadi tunayotumia kila siku ila mtoa ametia msisitizo.
Kizuri zaidi kuna-comment moja mwanana...
Salaam wanajamvi,
Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo...
Habari wana JF!
Mimi ni Muhanga wa hali hii nimevumilia sana lakini nimeshindwa. Juzi kuna jamaa yangu amekuja hapa kunihadithia kisa kilichomkuta maishani mwake ameshindwa kabisa kusamehe na kuachilia inagawaje anadai hana shida na watu waliomuumiza na kumpiga majungu.
Baada ya kunieleza...
Wasaalam wanajukwaa hili.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho...
Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma haikuwa hivi msaada tafadhari natumia Itel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.