msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maelezo kuhusu Ubuy Online Shopping

    Nimejaribu Kikuu, Mwanzani Sikuamin Kikuu Niliona kama Matapeli Kumbu Fikra Zangu hazikuwa sahihi. Sasa Nimesikia Kuhusu Ubuy kwa maana kuna Product haziko Kikuu ziko Ubuy na nimezipenda. Naombeni Maelezo Wakuu Kuhusu Ubuy 1. Je, ni legit Platform? 2. Mzigo unafika kwa wakati 3. Wanatumia...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

    Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.
  3. King TKM

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anae fahamu hili swali, an appraisal of handling of exhibits in law enforcement agencies practice: Tanzania police force

    Habari za mda huu, Ikiwa kama kuna regulations, laws au Act zozote zinazoweza kutoa majibu ya hilo swali naomba mnisaidie.
  4. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hii VPN

    Habari za jion wana tech wa JF. Leo nimeshtuka kidogo, muda wote kwasababu nipo Twitter natumia VPN, sasa kuna muda nilienda Google ile paa nikajikuta nascroll mpaka chini kabisa bwana ee nikaona location nipo huku kwetu maeneo fulan Morogoro nyumban kwetu kabisa, sasa najiuliza hii Google ina...
  5. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Msaada kujaza fomu za Express Canada Visa

    Mwenye uzoefu wajuvi wa kujaza hizi fomu za Express Visa Canada. Naomba anicheki. Hela ya usumbufu ipo. Anayehitaji anahitaji haraka iwezekanavyo. UPDATED: Mdau hapo chini Mung Chris amefanikisha. Suala closed.
  6. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kampuni gani ya usafiri kutoka Dodoma kwenda Mbeya?

    Habari Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya. Asante.
  7. X

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kufuta post zote za Instagram

    Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu. Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz #Forgive Me
  8. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye Twitter

    Habarini za jioni wana JF, Nina shida moja kwenye app ya Twitter, nikitazama video halafu ikiisha nikirudi nyuma kuendelea na mambo mengine ile sauti ya video inaendelea kuplay, na hata nikitoka kabisa nje hadi homescreen inaendelea kuplay, inakata pale tu niki-clear kwenye recent activity...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufuta akaunti ya Instagram

    Ndugu poleni na majukumu, Naombeni msaada namna ya kufuta Account ya Instagram isionekane tena. Msaada kwa anaefahamu. Ni hayo tu. #Forgive Me
  10. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Msaada! Kufuta namba contact

    Habari! 🖐️ Natumai mu wazima nimepata matatizo ya kushindwa kufuta majina hasa yanayo nambia read-only contact from whatsapp naomba msaada kwa yeyote anayejua kwani hunikera sana sio siri nahitaji kuyaondoa nipo nasubiri majibu yenu yakiugwana 🤝🤝🤝
  11. Tobechukwu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

    ...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani jinsi ya kufanya conference/merge calls kwa laini iliyozuiwa

    Nina laini ya halotel ambayo wamelock conference/merge calls. Kw yeyote anaejua jinsi ya kutoa msaada tafadhari.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wachache wanaojitoa kuelezea mapungufu ya Magufuli, wana msaada mkubwa kwa Taifa kuliko mamia au maelfu walio huru kueleza mazuri yake

    Habari wakuu, Ni hivi: Ingekuwa ni jambo la hatari sana kama kila mtu angejitoa akili (angejisahaulisha) kuhusu mapungufu ya Marehemu Magufuli na utawala wake na kisha wote tungeungana katika kusifu pamoja na kuendesha hizi propaganda zinazoendelea kwa kutumia vyombo vya habari. Ukweli ni...
  14. Kategele

    JamiiForums Tanzania Bima ya mtoto wa mtumishi wa umma itasaidia matibu ya Moyo Taasisi ya Jakaya Kikwete?

    Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia. Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA. Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
  15. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuinstall custom ROM

    Kama title inavojieleza, nahitaji kuinstall custom rom kwenye kimeo changu sony xperia z3 compact, specifically rom yenyewe ni Lineage Os. Changamoto ni moja hii simu bootloader yake ni unlockable, sasa je naweza fanikiwa kweli. Tayari nimesha iroot na nimeinstall TWRP. Msaada bandugu...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kifungu hiki cha sheria kutoka kwenye National Leaders' Funeral Act

    Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali

    Naombeni tafsiri ya nyimbo hizi za fally ipupa 1. Ecole 2. Allo telephone
  18. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikijaribu kujiunga na Twitter inagomea penye namba ya simu

    Kila nikijaribu kujiunga Na Twitter inagomea penye namba ya simu, hata aileti maelezo yoyote
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata diagnosis

    Hello wa kuu za muda huu nimeshindwa kupata diagnosis kwenye hii case. Samahani kuna ili tatzo ana vipele vidogo vidogo kwenye corona grands penis ambavyo ni vidogo vidogo sana haviwash, wala havitoi maji,wala kuuma. Vina zaid ya miaka 4 ila mwez wa kwanza alienda hospital wakamchukua damu na...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
Back
Top Bottom