Ndugu wa mbali ni bora zaidi kuliko ndugu wa karibu

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,488
2,695
Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!

Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia kubwa hutokea hvyo.

Tena ukute ndugu mnafk nae anamke ambae anakichwa km ya nguruwe ndio utaelewa nn nimemaanisha

Waadha Assalm Alyekum
 
Ndugu wa mbali Hawana Unafiki kwa kuwa ukk nao mbali, Unafiki sio suala Ukaribu wala Umbali, ni Hulka na Tabia ya Mtu, Shukuru walio Karibu yako umewafahamu vema zaidi, Pengine wale wa mbali siku ukiwajua vema unaweza Kuona ahueni ya hawa walio karibu.

Umbali unaepusha Kujua mengi yaliyo Sirini.
 
Si wapo karibu wanakuona ulivyo ndezi ndo maana wanakupotezea kiaina wale wa mbali hawaoni undezi wako so heshima lazima iwepo

Watu wengine bhana mnataka sisi ndugu tuwanyenyekee kwani nyie Mungu .. Mambo hayo fanya na majirani zako
 
Mzee unaongea km unakunya yan
 
Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!

Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia kubwa hutokea hvyo.

Tena ukute ndugu mnafk nae anamke ambae anakichwa km ya nguruwe ndio utaelewa nn nimemaanisha

Waadha Assalm Alyekum
Inategemea na familia na makuzi ndani ya hiyo familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom