msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye kulijua hili swali la kitakwimu.

    Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali. "Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

    Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
  3. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kuhusu abnornal hernia (ngiri ya tumbo)

    Habari ya weekendi wana jamvi. Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform activity zangu kwa ufasaha ofisini kila dakika toilet kutoa ushuzi
  4. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Barack Obama inaomba msaada wa kurudisha mwili wa Kezia Obama

    MY TAKE Aisee hapa jina la Barack Obama linatumika kumchafua Barack Obama!
  5. mangolomangaraba

    JamiiForums Tanzania Jaman naomben msaada wa ku apply field caurse ya Mechanical Engineering

    Jaman naomben msaada kwa anae jua maeneo ya field apa Dar. Mimi nasoma mechanical Engineering Diploma DIT ndo niko mwaka wa kwanza nlikua naomben msaada wa kuelekezwa maeneo ya kwenda ku apply Field.
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu. Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati. Afanyeje ili isivuje? N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
  7. magnifico

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuunlock Tecno RC6 (r7+).

    Wataalam kuna hii simu tajwa hapo juu inatumia line mbili ila iko locked kwenye vodacom. Nimejaribu kuunlock kwa kutumia NCK Android MTK ile cracked nimeshindwa. Nakutana na error 36 phone not support meta connection, lakini inakuwa tayari ishaboot upande wa meta ila connection inastop hapo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuagiza vitu kutoka Kenya

    Habari za muda huu ndugu zangu? Ukweli ushamba mzigo kumbe kenya wanabei ndogo ya simu kuliko aliexpress? Juzi nilikuwa nataka simu aliexpress nilikuwa na laki 8 niliona ngoja nitafute xiamon maana kunawatu walikuwa wanazisifia sana nilipata xiamo note 10 pro kwa bei ya laki 8 niliongea na yule...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada FZMovie kuna nini tena?

    Habari za muda huu ndugu zangu? Ngoja niende kwenye point huwa na tumiaka Fzmovie kushusha movie nazozitaka ila siku hizi naona mambo yamebadilika yaan nikibonyeza movie mfano Iron man inafunguka betpawa inshort Ads zimezidi hadi inakata kudownload movie. Natumia PC kudownload movie msaada...
  10. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Msaada Telegram Split Screen

    Salaam wakuu. Nikifungua App yangu ya Telegram sehemu ya Msg nakuta Screen imegawika katikati kati ya Chat na Contacts kitu ambacho mwanzoni hakikuwepo, ilikuwa nikifungua nakuta Chats tu, sasa je nawezaje kuondoa hizo Contacts zisionekane chino ya Chats? Msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia...
  11. Darucha

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili. "Kiberenge kinaokoaaaa...
  12. Zungweboy

    JamiiForums Tanzania msaada wa kimawazo kwa mke wangu amepata ujauzito wa kumfatisha mtoto wetu wa pili

    Habari wadau za muda huu, Mimi nafamilia ya watoto wawili na mke mmoja. Mke wangu kapata ujauzito wa kumfatisha mtoto wetu wa pili. Tatizo si kumfatisha tatizo kumfatisha mtoto akiwa na mwaka mmoja. Tena alimpata kwa njia ya upasuaji mkubwa. Hofu yangu je mke wangu atalajie kujifungua kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye contacts za wachina Arusha naomba msaada

    Wakuu natumaini mu wazima. Naomba kwa yeyote mwenye contacts za wafanyabiashara wa kichina au Japan waliopo Arusha anisaidie. Nataka kuangalia products zipi naweza kuwauzia kwa soko la China. Natanguliza shukrani za dhati.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Shinikizo la juu la damu mwilini ni ninni? Namna ambavyo damu yako hupiga kwenye ukuta wa mishipa ya mwili wako huitwa shinikizo. Kwa kawaida shinikizo la damu la mtu hupanda na kushuka siku nzima. Kwa wengine hubakia juu kila wakati. Hawa ndio watu walio na shinikizo la juu la damu mwilini...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda

    Habari za muda huu ndugu zangu, Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi...
  16. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Wapi Ninaweza Kupata Mmea aina ya San Pedro Cactus (Jina la Kitaamu; Echinopsis pachanoi)

    Habari za jioni wandugu, Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana. Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.
  17. eddiewamapacha

    JamiiForums Tanzania Msaada waungwana hii site ya trucklocator ya nchini Ungereza kama ni site halali kwa biashara husika

    Habari ndugu zanguni? Kwa mwenye uelewa kuhusiana hii site ya trucklocator ya nchini Uingereza. Hofu yangu isije ikawa ni ma conmen nikapigwa pesa hapa maana uchumi wenyewe ni mgum huu. Natanguliza shukrani.
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata chuo Uganda

    Habari za muda huu ndugu zangu, Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba msaada wa kimawazo kuhusu suala hili, nahisi kuchanganyikiwa

    Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo. Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa na two ya 12 ambapo CHEM - C BIOS - C na PHY - S. Nilijaribu kuomba Degree ila nilipataga Ualimu...
  20. Sweet mangi

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kupata usajili wa biashara yangu

    Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi ya wateja kutoamini ubora na usalama wa bidhaa hizi ,hii imesababisha niache kutengeneza kwa muda...
Back
Top Bottom