Msaada please. Nitapata wapi mayai ya bata ya kutotolesha?

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
Waheshimiwa sana salaam.

Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda kununua mayai bora yanayoweza kutotolewa kwa mashine na niyatotoleshe mwenyewe kisha nikuze vifaranga. Changamoto niliyonayo ni kuwa sijui ni wapi pa kuyapata. nimejaribu pia kuulizia majirani na marafiki zangu sijapata msaada. tafadhari anayejua anisaidie please. Namba yangu ni 0787 36 69 79.

thanks in advance
 
Salaam mkuu, ulifanikiwa kupata?
 
Back
Top Bottom