Msaada: Domain ya website yangu inauzwa,nifanyeje

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,503
2,000
Wakuu mwaka 2011-2013 nilikuwa na blog website kubwa sana,ambayo ilipata watembeleaji wengi sana kila siku
Ilikuwa inahusu marafiki/wachumba
Muziki,habari,udaku na vichekesho..

Kiukweli hata kwenye search ingine ikikuwa katika top results

Sasa nikanunua domain.name kupitia maddogs domain kwa miak 2 hivi

Baada ya hapo sikuilipia tena kutokana na ubize na changamoto mbalimbali

Juz nikapata wazo niirenew tena
Daha nakuta inauzea tena mil 6 na ushee hivi..

Na wamebadilisha mpaka umiliki (ukienda kuangalia pale kwenye WHOIS)

Sasa bahat mbaya details za akaunt yangu ya maddog domains inanigomea(nahis kama imefutwa hivi)
Je nafanyaje kuigomboa kwani ni mm ndio nimeifanya kuwa juu hivo coz ni muasisi wake...

Na je ikiuzwa na mimi nitaambulia chochote? tangu nimeacha kuilipia mm haijawah kutumika na mwingin tena..

Naombeni ushauri..nafanyaje

Blog yangu ni nasmiletz.blogspot.com

Na domain niliyoilink nayo ni www.nasmiletz.com

Kwa wale wadau wa 2012 -2013 mtakuwa mnaikumbuka kwan baadhi ya habari zake nilikuwa nazishea humu..au hata ukienda google utaona jinsi ilivo famous
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,805
2,000
Nilitaka kuja kukuambia uinunue ila kwa 6M naona tafrani kidogo. So ukiwasiliana na hao wauzaji kwamba wewe ndiye mmiliki wanakuambia nini?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,843
2,000
Huna chako tena hapo.

Taka care, next time.

Domains nzuri ni assets, hazitelekezwi ovyo.

Premium domains zinauzwa mamilioni na ni biashara kubwa.

Domains ni kama ilivyo frequency za radio hapa Dar, kina Kusaga wamechukua frequency nzuri nzuri wamekaa nazo. Hata 88.9 ya Wasafi fm ni yake.
 
Daah yaan najilaum sana
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,742
2,000
Bora wewe uliitelekeza, mimi Busati.com wale Godaddy walinipiga Fine kubwa na sasa wanaiuza milioni 30..

Kifupi makampuni mengi ya domain ni matapeli matapeli, ukijichanganya kidogo wanakupokonya domain.

Natumia name cheap sasa hivi, so far so good.
 
GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
913
250
acha maneno na po___ro____jo... toka lini domain ikawa ya kwako... hizi domain hua tunakodisha kwa mwaka mmoja, miwili au kadhaaa... ukishindwa kulipia anapewa mwingine,,, wakati anapewa mwingine inaweza kupanda thamani kutokana na mpangaji wa nyuma alivyoiweka.. Hapo ulikua umekodi chumba muda ukaisha hujalipia mama/baba mwenye pango lake kapandisha dau.. kama vip toa hiyo 6M urudi kwenye makazi yako mzee...
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,176
2,000
Ndo basi tena imekula kwako. Navyojuaga domain name ikiisha huwa unapewa siku kama 30 hivi za kuikomboa, zikipita nazo imekula kwako mazima.
 
Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,503
2,000
acha maneno na po___ro____jo... toka lini domain ikawa ya kwako... hizi domain hua tunakodisha kwa mwaka mmoja, miwili au kadhaaa... ukishindwa kulipia anapewa mwingine,,, wakati anapewa mwingine inaweza kupanda thamani kutokana na mpangaji wa nyuma alivyoiweka.. Hapo ulikua umekodi chumba muda ukaisha hujalipia mama/baba mwenye pango lake kapandisha dau.. kama vip toa hiyo 6M urudi kwenye makazi yako mzee...
Basi ni utapeli...bora wangekuwa wanauza hiyo bei kwa mtu mwingin...sio mpk kwa mimi mwenyewe muasisi.dah
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,843
2,000
Bora wewe uliitelekeza, mimi Busati.com wale Godaddy walinipiga Fine kubwa na sasa wanaiuza milioni 30..

Kifupi makampuni mengi ya domain ni matapeli matapeli, ukijichanganya kidogo wanakupokonya domain.

Natumia name cheap sasa hivi, so far so good.
Godaddy wanafanya mpaka brokering. Kama unahitaji Domain fulani na ikaonekana ina mtu na unaitaka, wanawasiliana naye kama anauza.

Ukichelewa kuinunua tu inaingia kwenye mfumo wa Bids na siyo free domain tena.

Ni wahuni sana Godaddy.
 
Ramlis

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
481
500
Bora wewe uliitelekeza, mimi Busati.com wale Godaddy walinipiga Fine kubwa na sasa wanaiuza milioni 30..

Kifupi makampuni mengi ya domain ni matapeli matapeli, ukijichanganya kidogo wanakupokonya domain.

Natumia name cheap sasa hivi, so far so good.
Kama hautojali nipe link ya blog yako/zako niwe natembelea huko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom