daktarii
Member
- Sep 14, 2020
- 39
- 50
Habari !
Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote.
Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha hawashiki mimba wote na ndama wao wameshakua wakubwa wanakaribia mwaka, still ng'ombe bado wanakamuliwa.
Tatizo langu ni kwanini hawashiki mimba wote kila wakipandwa. Nimewapandisha kama mara nne hivi.
Asanteni
NB: Hao waliotoa mimba ndo hawashiki sahivi mwenzao mwingne yeye hakutoa mimba yake ni kubwa sasa hivi.