Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

Fatmie

Member
Apr 10, 2021
15
75
Wakubwa Shikaamooni
Wadogo zangu Habari zenu.

Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto.

Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea kuanzia kula yao, kusoma kwao, kuumwa kwao na kila kitu Bills za maji, umeme na mahitaji mengine yote ya kibinadamu, naishi nao pamoja na Mama yangu Mzazi (extended family) mapambano yangu yote ni kwa ajili yao.

Nimeamua kuja hapa Jukwaani nikiamini kua kuna WaTanzania wengi sana wanaishi Nje ya Nchi na wao waliwezeshwa au kushikwa mkono na watu na wao pia wanaweza kutushika mkono nasisi

Katika harakati za mapambano ya Maisha Nilijaribu kulima Vitunguu Maji, Pamoja na Nyanya huku nikiwa nafanya kazi lakini kilimo hakikua na faida kwangu kilinipatia hasara sana kwakua sikua na mda wa kutosha wa kufanya closely monitoring nikachana nacho

Nianze na kuzungumza yafuatayo:-Mimi kwetu ndio nategemewa kwa kila kitu kwenye familia na niko kwenye wakati mgumu saana ndugu zangu, YAAN NIKO KWENYE WAKATI MGUMU MNOO DADA YENU😭😭😭 ITOSHE TU KUSEMA MWENYEZI MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA NAPITIA KIPINDI GANI nawaomba saana mnisaidie najua MWENYEZI MUNGU husaidia watu kupitia watu πŸ™ kwasasa sina kazi na sina pesa na ila nna uzoefu mkubwa sana wa kazi pamoja na uzoefu wa kutosha juu ya matumizi ya Computer

Nimeshasimamia miradi mbali mbali na nimeshakua Project Manager, Project Coordinator, Field Manager, Field Officer, Case Management Officer, Child Protection Coordinator,Social worker, Administrative Officer, Marketing Officer, Communication Officer, kwenye miradi mbali mbali ya miongoni mwa hayo mashirika

Elimu yangu ni Degree ya Social work nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye mashirika mbali mbali ya Kimataifa yanayohusu juu ya Suala zima la ULINZI WA WATOTO
(Child Protection) kwa mda wa miaka 8 kwa miaka bahati mbaya mkataba wangu uliisha 31,Dec 2020 kutokana na funds kuisha hii imetokana na Athari ya Janga kubwa la Corona
( Covid-19)

Tangu November 2020, nimekua nikifanya Applications mbalimbali nionapo matangazo ya kazi lakini sijafanikiwa kuitwa popote pale. Kuomba kazi ni jambo moja na kuitwa ni jambo lingine

Tangu nilipokua mtoto nilikua na ndoto ya kwenda kuishi Nchi zifuatazo:- Switzland, UK, USA, Canada na German kwa lengo la kufanya kazi za halali zikiwemo (Black Jobs ) kikubwa nipate rizki ya halali tu na kufanya saving kwa baadae niweze kuja kuwekeza Tanzania.

Nawaomba sana, Nawaomba sana, Nawaomba saana kwa yoyote mwenye utayari wa kunisaidia kuishi Nchi mojawapo kati ya hizo tafadhali naomba sana anisaidie lengo langu ni kuishi kwa mda wa Miaka 5 tu tukijaaliwa Uhai na ndoto zangu zitakua zimeshatimia kwa target niliyojiwekea nikipata hiyo fursa ya kwenda kuishi kati ya hizo Nchi nitajituma saana na kufanya kazi kwa bidii kubwa ili kuweza kutimiliza malengo yangu

Ikiwemo kutuma Pesa nyumbani kwa ajili ya mahitaji ya Mama na hao Watoto yatima

Afya ya Mwili na Akili:- Namshukuru MWENYEZI MUNGU sina matatizo yoyote yale ya kiafya wala ya Viungo

Makazi:- Naishi Dar-es-Salaam

Kwa maswali yoyote au kama utahitaji my Personal details tafadhali naomba uni PM nitakua tayari kushare nawewe utakaenisaidia, Nawashukuru sana.

Nawaomba sana mnisaidie Dada yenu, nawaomba mnistiri jaman na MWENYEZI MUNGU atawastiri kesho MbinguniπŸ™

MWENYEZI MUNGU awaguse muweze kunisaidiaπŸ™

Ahsanteni sana.
 
Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
429
1,000
Kuwaza kwenda nje sio kitu cha kuanzia hapa, kwa ulivyojieleza inaonesha unapitia kipindi kigumu sana

Hebu tafuta namna kwanza familia yako iishii kipindi hiki kigumu kwako, kuna fursa hapa hapa nchini unaweza kuzitumia, kwenda nje ibaki kama ndoto

Nataman kukushirikisha fursa ila nadhani kila mtu ana uono wake, kwangu mimi naziona fursa nyingi sana hapa Geita nilipo, wewe umesema upo Dar

Kuhusu kwenda nje hata mimi ni ndoto yangu siku hela zikijaa nitaenda kwanza kutembea kupitia hapa www.workaway.com

Hapo unaweza pata sehemu ya kwenda kujitolea kufanya kazi nje japo wapo wanaoweza kukulipa kidogo ukiwa unajitolea
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
10,854
2,000
Wakubwa Shikaamooni
Wadogo zangu Habari zenu.

Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto.

Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea kuanzia kula yao, kusoma kwao, kuumwa kwao na kila kitu Bills za maji, umeme na mahitaji mengine yote ya kibinadamu, naishi nao pamoja na Mama yangu Mzazi (extended family) mapambano yangu yote ni kwa ajili yao.

Nimeamua kuja hapa Jukwaani nikiamini kua kuna WaTanzania wengi sana wanaishi Nje ya Nchi na wao waliwezeshwa au kushikwa mkono na watu na wao pia wanaweza kutushika mkono nasisi

Katika harakati za mapambano ya Maisha Nilijaribu kulima Vitunguu Maji, Pamoja na Nyanya huku nikiwa nafanya kazi lakini kilimo hakikua na faida kwangu kilinipatia hasara sana kwakua sikua na mda wa kutosha wa kufanya closely monitoring nikachana nacho

Nianze na kuzungumza yafuatayo:-Mimi kwetu ndio nategemewa kwa kila kitu kwenye familia na niko kwenye wakati mgumu saana ndugu zangu, YAAN NIKO KWENYE WAKATI MGUMU MNOO DADA YENU😭😭😭 ITOSHE TU KUSEMA MWENYEZI MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA NAPITIA KIPINDI GANI nawaomba saana mnisaidie najua MWENYEZI MUNGU husaidia watu kupitia watu πŸ™ kwasasa sina kazi na sina pesa na ila nna uzoefu mkubwa sana wa kazi pamoja na uzoefu wa kutosha juu ya matumizi ya Computer

Nimeshasimamia miradi mbali mbali na nimeshakua Project Manager, Project Coordinator, Field Manager, Field Officer, Case Management Officer, Child Protection Coordinator,Social worker, Administrative Officer, Marketing Officer, Communication Officer, kwenye miradi mbali mbali ya miongoni mwa hayo mashirika

Elimu yangu ni Degree ya Social work nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye mashirika mbali mbali ya Kimataifa yanayohusu juu ya Suala zima la ULINZI WA WATOTO
(Child Protection) kwa mda wa miaka 8 kwa miaka bahati mbaya mkataba wangu uliisha 31,Dec 2020 kutokana na funds kuisha hii imetokana na Athari ya Janga kubwa la Corona
( Covid-19)

Tangu November 2020, nimekua nikifanya Applications mbalimbali nionapo matangazo ya kazi lakini sijafanikiwa kuitwa popote pale. Kuomba kazi ni jambo moja na kuitwa ni jambo lingine

Tangu nilipokua mtoto nilikua na ndoto ya kwenda kuishi Nchi zifuatazo:- Switzland, UK, USA, Canada na German kwa lengo la kufanya kazi za halali zikiwemo (Black Jobs ) kikubwa nipate rizki ya halali tu na kufanya saving kwa baadae niweze kuja kuwekeza Tanzania.

Nawaomba sana, Nawaomba sana, Nawaomba saana kwa yoyote mwenye utayari wa kunisaidia kuishi Nchi mojawapo kati ya hizo tafadhali naomba sana anisaidie lengo langu ni kuishi kwa mda wa Miaka 5 tu tukijaaliwa Uhai na ndoto zangu zitakua zimeshatimia kwa target niliyojiwekea nikipata hiyo fursa ya kwenda kuishi kati ya hizo Nchi nitajituma saana na kufanya kazi kwa bidii kubwa ili kuweza kutimiliza malengo yangu

Ikiwemo kutuma Pesa nyumbani kwa ajili ya mahitaji ya Mama na hao Watoto yatima

Afya ya Mwili na Akili:- Namshukuru MWENYEZI MUNGU sina matatizo yoyote yale ya kiafya wala ya Viungo

Makazi:- Naishi Dar-es-Salaam

Kwa maswali yoyote au kama utahitaji my Personal details tafadhali naomba uni PM nitakua tayari kushare nawewe utakaenisaidia, Nawashukuru sana.

Nawaomba sana mnisaidie Dada yenu, nawaomba mnistiri jaman na MWENYEZI MUNGU atawastiri kesho MbinguniπŸ™

MWENYEZI MUNGU awaguse muweze kunisaidiaπŸ™

Ahsanteni sana.

Pole sana kwa uhitaji ulionao nanuliyopitia

Ila kwa swala la kazi sioni kama itakusaidia sanaaa maana umeweka mipaka.....
Kama unaishi Dar es salaam kwanini unataka kazi nje ya nchi???

Ningekushauri utafute kazi tuu bila mipaka ya mkoa, nchi wala bara
 
mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,235
2,000
Nchi hizo ulizo zisema utaishia kuota tu

Jitahidi kutafuta kazi hapa bongo ili ufanikishe hayo malengo yako ya kwenda nje

Otherwise labda utaenda kuwauzia papa wazungu tu na watakuchakaza kweli kweli

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,852

Pole sana,ila umeonyesha unataka zaidi kwenda Europe au USA.mbona siyo hapo DR congo,au Sudani ambako ndiko mashirika mengi yanahitaji sana taaluma yako? umesema ni ndoto yako toka mdogo,nashauri ukamilishe hiyo ndoto wakati hauna uhitaji wa kiasi hicho ulicho nacho.pia umesema hata "black jobs" hizi ni kazi za aina gani

In short kwa sasa huhitaji tena connection za kazi za hapa bongo?
 
Mvumbo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
2,099
2,000
Kumbe elimu na ujuzi unao kwa nini usiombe usaidiwe upate kazi hapa hapa nchini ili uweze kumudu maisha na hao wanaokutegemea, au lazima mwenyewe uende nchi hizo? Ukipata kazi hapa hapa unaweza ukaishi vizuri na hata huko nje ukaja ukaenda kwa nguvu na mipango yako mwenyewe kadri utakavyotaka.
 
Ahsante sanaπŸ™
Nahitaji kazi ata ndani ya Nchi ila nimeshaomba sana bila mafanikio na hali inazidi kua mbaya siku hadi siku
 
Fatmie

Member
Apr 10, 2021
15
75
Kumbe elimu na ujuzi unao kwa nini usiombe usaidiwe upate kazi hapa hapa nchini ili uweze kumudu maisha na hao wanaokutegemea, au lazima mwenyewe uende nchi hizo? Ukipata kazi hapa hapa unaweza ukaishi vizuri na hata huko nje ukaja ukaenda kwa nguvu na mipango yako mwenyewe kadri utakavyotaka.
Nashukuru sana kwa mawazo yako mazuri yenye faraja, naomba nisaidie nipate kazi ata apa ndani ya Nchi maana nimeshafanya Applications saana bila mafanikio, Ahsante
 
Fatmie

Member
Apr 10, 2021
15
75
Pole sana,ila umeonyesha unataka zaidi kwenda Europe au USA.mbona siyo hapo DR congo,au Sudani ambako ndiko mashirika mengi yanahitaji sana taaluma yako? umesema ni ndoto yako toka mdogo,nashauri ukamilishe hiyo ndoto wakati hauna uhitaji wa kiasi hicho ulicho nacho.pia umesema hata "black jobs" hizi ni kazi za aina gani

In short kwa sasa huhitaji tena connection za kazi za hapa bongo?
Ahsante sana kwa mawazo yako nimekua nikiomba kazi sana huko Congo,Sudan,Namibia, Botswana na hata ndani ya Nchi bila mafanikio yoyote yale, naombeni msaada wenu hali inazidi kua tete
 
Fatmie

Member
Apr 10, 2021
15
75
Pole sana kwa uhitaji ulionao nanuliyopitia

Ila kwa swala la kazi sioni kama itakusaidia sanaaa maana umeweka mipaka.....
Kama unaishi Dar es salaam kwanini unataka kazi nje ya nchi???

Ningekushauri utafute kazi tuu bila mipaka ya mkoa, nchi wala bara
Ahsante sana kwa mawazo yenye ustawi bora wa fikraπŸ™

Nimeweka Nje ya Nchi nikiamini kua huko kuna fursa nyingi sana za kazi tofauti na hapa Nchini, mpaka sasa nimeshaomba kazi zisizopungua 200 kwenye notebook yangu

Lakin mpaka sasa sijafanikiwa popote pale, ila ata kama nikipata hapa Dar-es-Salaam nitafanya na niko tayari kuanza kufanya ata leo hii kama nafasi itatokea

Majukum niliyonayo ni mengi na hali inazidi kunielemea
 
Fatmie

Member
Apr 10, 2021
15
75
Nchi hizo ulizo zisema utaishia kuota tu

Jitahidi kutafuta kazi hapa bongo ili ufanikishe hayo malengo yako ya kwenda nje

Otherwise labda utaenda kuwauzia papa wazungu tu na watakuchakaza kweli kweli

Au nasema uongo ndugu zangu
Ata kama mtu ana shida sio lazima ucomment kwa dhihaka kias hicho, nasio kila Mwanamke mwenye shida basi yuko tayari kuuza utu wake kwa ajili ya shida yake.

Fikiri kabla hujaandika.

AhsanteπŸ™
 
Fatmie

Member
Apr 10, 2021
15
75
Daaaa!!!ina maana lengo lako ni kwenda nje tu?!!kwani kama ni msaada wa kazi kutokana na uhitaji wako, sidhani kama ni jambo jema sana kusisitiza kuwa unataka kwenda nje, tena ktk nchi hizo!!unawezaje kuwa na PLAN B, wakati hata hiyo PLAN A, huna?!
Ahsante kwa mawazo yako, nimekua interested na Nje kutokana na fursa nyingi zilizopo huko nasio kwa Ubaya, na hapa nimeshafanya Application sana bila mafanikio yoyote yale
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
10,854
2,000
Ahsante sana kwa mawazo yenye ustawi bora wa fikraπŸ™

Nimeweka Nje ya Nchi nikiamini kua huko kuna fursa nyingi sana za kazi tofauti na hapa Nchini, mpaka sasa nimeshaomba kazi zisizopungua 200 kwenye notebook yangu

Lakin mpaka sasa sijafanikiwa popote pale, ila ata kama nikipata hapa Dar-es-Salaam nitafanya na niko tayari kuanza kufanya ata leo hii kama nafasi itatokea

Majukum niliyonayo ni mengi na hali inazidi kunielemea

Fatmie huko nje nako wanalia kukosa ajira...
Wa huko nje nao wanakuja Tanzania kutafuta ajira....

Ninachodhani ni kwamba Jf ni sehemu sahihi yenye watu sahihi wanaoweza kukusaidia kadri ya uwezo wao na vile watakavyoguswa

Mungu akusaidie ukutane na watu sahihi kwa hitaji lako
 
Amiiiiin nashukuru sana kwa maombi na farajaπŸ™
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom