Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi...
Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo.
Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa na two ya 12 ambapo CHEM - C BIOS - C na PHY - S.
Nilijaribu kuomba Degree ila nilipataga Ualimu...
Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi ya wateja kutoamini ubora na usalama wa bidhaa hizi ,hii imesababisha niache kutengeneza kwa muda...
Nimejaribu Kikuu, Mwanzani Sikuamin Kikuu Niliona kama Matapeli Kumbu Fikra Zangu hazikuwa sahihi.
Sasa Nimesikia Kuhusu Ubuy kwa maana kuna Product haziko Kikuu ziko Ubuy na nimezipenda. Naombeni Maelezo Wakuu Kuhusu Ubuy
1. Je, ni legit Platform?
2. Mzigo unafika kwa wakati
3. Wanatumia...
Habari za jion wana tech wa JF.
Leo nimeshtuka kidogo, muda wote kwasababu nipo Twitter natumia VPN, sasa kuna muda nilienda Google ile paa nikajikuta nascroll mpaka chini kabisa bwana ee nikaona location nipo huku kwetu maeneo fulan Morogoro nyumban kwetu kabisa, sasa najiuliza hii Google ina...
Mwenye uzoefu wajuvi wa kujaza hizi fomu za Express Visa Canada. Naomba anicheki. Hela ya usumbufu ipo. Anayehitaji anahitaji haraka iwezekanavyo.
UPDATED: Mdau hapo chini Mung Chris amefanikisha. Suala closed.
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya.
Asante.
Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu.
Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz
#Forgive Me
Habarini za jioni wana JF,
Nina shida moja kwenye app ya Twitter, nikitazama video halafu ikiisha nikirudi nyuma kuendelea na mambo mengine ile sauti ya video inaendelea kuplay, na hata nikitoka kabisa nje hadi homescreen inaendelea kuplay, inakata pale tu niki-clear kwenye recent activity...
Habari! 🖐️
Natumai mu wazima nimepata matatizo ya kushindwa kufuta majina hasa yanayo nambia read-only contact from whatsapp naomba msaada kwa yeyote anayejua kwani hunikera sana sio siri nahitaji kuyaondoa nipo nasubiri majibu yenu yakiugwana
🤝🤝🤝
Habari wakuu,
Ni hivi: Ingekuwa ni jambo la hatari sana kama kila mtu angejitoa akili (angejisahaulisha) kuhusu mapungufu ya Marehemu Magufuli na utawala wake na kisha wote tungeungana katika kusifu pamoja na kuendesha hizi propaganda zinazoendelea kwa kutumia vyombo vya habari.
Ukweli ni...
Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia.
Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA.
Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
Kama title inavojieleza, nahitaji kuinstall custom rom kwenye kimeo changu sony xperia z3 compact, specifically rom yenyewe ni Lineage Os.
Changamoto ni moja hii simu bootloader yake ni unlockable, sasa je naweza fanikiwa kweli.
Tayari nimesha iroot na nimeinstall TWRP.
Msaada bandugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.