Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

Lyetu

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
1,115
2,949
Habari za usiku wapendwa katika bwana.

Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza.

Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya jiji ghafla gari hiyo ili ni overtake upande wangu wa kulia kisha ikakata kona ya ghafla ili kuelekea maeneo ya seketure.

Gari iliniparamia ubavuni na kupelekea kuanguka pembeni, Nikiwa pale chini dereva wa gari husika aliliondoa kwa kasi kiasi cha kusababisha kuendelea kunisukuma zaidi.

Kwavile sikuwa na mwendo mkali sikuumia sana zaidi ya kupata maumivu mguu wa kulia na hii imesababishwa na vile alivyonipush akitokea upande wangu wa kulia, pia pikipiki imepata hitirafu kidogo.

Dereva wa gari husika hakutamka chochote pia hakushuka ndani ya gari, aliendelea na safari yake.

Naomba kufahamu ni vipi nitatoa malalamiko yangu kuhusu hili tukio ili ndugu zetu hawa wawe na nidhamu wanapokuwa barabarani, niende polisi au niende kambini kwao maeneo ya Airport.
 
Daaah wajeda bwana kuna siku nilipita karibu na geti lao nikaona watu wanarushwa vichura chura. Walifanyaje? Hata kujua sikutaka nilipita kimya kimya kwa mwendo wa haraka maana wasinge kawia kugeuka na kuniita na mimi nikasomeshwe namba.
 
Habari za usiku wapendwa katika bwana.

Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza.

Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya jiji ghafla gari hiyo ili ni overtake upande wangu wa kulia kisha ikakata kona ya ghafla ili kuelekea maeneo ya seketure.

Gari iliniparamia ubavuni na kupelekea kuanguka pembeni, Nikiwa pale chini dereva wa gari husika aliliondoa kwa kasi kiasi cha kusababisha kuendelea kunisukuma zaidi.

Kwavile sikuwa na mwendo mkali sikuumia sana zaidi ya kupata maumivu mguu wa kulia na hii imesababishwa na vile alivyonipush akitokea upande wangu wa kulia, pia pikipiki imepata hitirafu kidogo.

Dereva wa gari husika hakutamka chochote pia hakushuka ndani ya gari, aliendelea na safari yake.

Naomba kufahamu ni vipi nitatoa malalamiko yangu kuhusu hili tukio ili ndugu zetu hawa wawe na nidhamu wanapokuwa barabarani, niende polisi au niende kambini kwao maeneo ya Airport.
Pole sana, kabla ya kupeleka malalamiko yabidi uenee kila idara yaani leseni halal ya udereva, bima ya pikipiki pa1 nk.
Nianze kujib swali lako,, kwa barabarani sehem husika ya kufikisha malalamiko kureport kwa askali wa usalama barabarani yeye ndio atakayehusika na kuchunguza ramani ya ajali na kubaini mkosaji,,..
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Hii nchi ni ya kipumbavu sana. Kuna watu wana haki kuliko wengine. I hate Tanzania. Ila amini kwa Mungu hakuna mnyonge, kila nafsi itaonja umauti haya mambo ni mbwembwe za hapa duniani tu.

Jikaze endele na mambo yako mkuu Mungu ndio hakimu wa yote.

Nipo sana bado Tanzania though.
 
Back
Top Bottom