msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa App ya kurekodia video na clips kwenye simu

    Habari wadau wa Jf Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb uwe angalau mb10 kushuka chini Maana kwa kutumia video recorder ya simu aisee si mchezo video ya...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Namna ya kutuma fedha ghana

    Hello wakuu, Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
  3. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuprint data zote kwenye drop down list kwenye excel 2013

    Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia. Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja. Au hata kwa kutumia VBA code azinisaidie then kuziset kwa kuedit sheet ya drop down list na cell...
  4. JamiiForums Tanzania EWURA yatoa Msaada wa wa Mashuka 431 yenye thamani Mil 5 Vituo vya Afya

    MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya. “Mashuka...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

    Habari za muda huu wakuu, I hope mko poa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje? Yaani mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

    Member wa JamiiForums wote nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo aliekufa msalabani kwa ajili ya uovu wangu. Leo nimependa kushare kidogo kuhusu historia ya maisha yangu inaweza kuwa funzo kwa mwingine pia. Mara baada ya kumaliza darasa la Saba katika shule moja ya msingi mkoa wa Singida dc...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada Whatsapp yangu inajituma link kwenye Magroup

    Wakuu habarini za majukumu, Juzi nimebadilisha simu nika install WhatsApp upya Basi kila nikiifungua inajituma /kujipost link kwenye magroup yangu yote ya whatsap niliyo jiunga nayo. Hata nikiifungua kuchat na mtu link hiyo hujituma kwanza hali hii imenifanya nionekane kama tapeli...
  8. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anaoa lakini bado anategemea nyumbani asaidiwe?

    Tofauti na zamani ila ndoa nyingi zinazofugwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia vijana wengi wanaoa unakuta bado anategemea nyumbani asaidiwe. Kuna wengine anaoa yeye na mkewe anaishi nae nyumbani kwao na hapo unakuta kila kitu anategemea nyumbani familia imuhudumie yeye na mkewe. Ni kwanini...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

    Natumai wazima wana JF. Naomben msaada nan mwenye uzoef wa kuagiza bidhaa kwenye kampun ya Ebay.. Inakuwa vp taratibu zake had kunifikia hyo bidhaa.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa namna ya kuwadhibiti mende

    Straight to the point. When we were growing up, tulizoea kuona Yale ma mende makubwa makubwa flani ambayo in those times we thought they were originated from the lavatories. Ila kwa sasa kuna hivi vi periplaneta americana vidogovidogo hivi vinasumbua balaa. Ukichek chini ya sofa au sehemu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ninahitaji msaada wa kitabibu hasa daktari wa watoto

    Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama. Niende straight kwenye mada. Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni. Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

    Habari wakuu, Nilikuwa na namba za wachambuzi wa muziki Kama Rajab Zomboko, Chacha Maginga lakini bahati mbaya nimefanya reset ya Simu sizioni Tena. Naomba mwenye namba hizo na za wachambuzi wengine naomba anitumie hapa au PM au kwenye 0776655978
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu inakula sana bundle

    Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika. Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa ndoto anazoota huyu jamaa na mpenzi wake

    Nimekuwa na Jamaa ya ambaye tumeishi wote toka shule ya Msingi , mpaka sekondari. Kwanzia kidato cha tano ndipo mtengano ulipotokea baina yetu kwa kuwa tulipangwa shule tofauti , lakini uswahiba wetu upo hata asa. Tuseme kiubinadamu , kila mtu anakuwa na Yule Rafiki yake ambaye Amejawa Utayari...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada mwenye prospectus ya Open University softy copy, au kama Hard copy anipigie picha programs zote za Social Sciences

    Habarini wadau, Naombeni Msaada kulingana na nilivyoeleza hapo juu. Mwenye nayo anitumie kwa email; unclekaso@gmail.com au WhatsApp Na. 0739947397 Nimejaribu kuitafuta kwenye website ya chuo haifunguki. Ahsanteni
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Desktop haioneshi chochote kwenye monitor nikiwasha, baada ya muda feni inazunguka sana

    Habari waungwana! Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika. Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha. Je, tatizo ni nini...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili? Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Ninaomba mkopo na Cheti cha mzazi wangu hakijawa "authorized" na RITA

    Okay
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…