msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Msaada PC ya dell Wakuu

    Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji vizuri tu, bila shida yoyote, hio ilikuwa mwaka jana mwezi wa kwanza, na betri lilikia linasoma...
  2. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Link nzuri za habari na matukio

    Wadau habari naomba kwa wale wazoefu wa telegram wanisaidie link nzuri za habari na matukio za ndani ya nchi hata za nje ya nchi na ya michezo hasa ligi ya hapa kwetu. Asanteni.
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikia nimepata matatizo amenitafuta, naitaji msaada huu

    Karibuni wakuu.
  4. Roy Keane

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hali hii wajuzi

    I'm fine now thank you. It was nothing serious. Regards.
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa Bodi ya Fuso

    Nimenunua gari aina ya fuso Sasa bodi yake ni zile kama za kubebea samaki zile za bati Watu wengi wanashauri nishushe bodi zima na niweke bodi jipya la bati swali kwa wataalam napenda kujua faida na hasara Pia naomba mtu yoyote mwenye utaalam wa kutengeneza hizo bodi za mabati anambie hapa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
  7. Matata25

    JamiiForums Tanzania Msaada ku apply chuo online Nacte

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili ulipofunguka...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aina tano za shahada ambazo hata nikikosa serikalini naweza kujiendesha

    Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
  9. Matata25

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kutuma maombi NACTE

    Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini. Then ukurasa wa pili...
  10. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka Mkali anazunguka Mazingira ya Nyumbani

    Msaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k. Baada ya muda...
  11. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri wa namna ya kutoka kimziki

    Habari wakuu, Naomba msaada ili niweze kupata nafasi ya kuonyesha uwezo na kipaji changu cha kuimba ili kutengeneza nafasi ya kuweza kurekodi wimbo. Pia connection na wadau wa muziki nahitaji msaada wakuu maana uchumi bado ni kikwazo Jambo linalofanya kushindwa kufanya chochote chenye...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii

    Somo hapo lahusika, naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii kuanzia dakika ya 17:30 na kuendelea ina jambo muhimu kutoka kwa Hayati Mwl J K Nyerere Video
  13. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuondoa harufu mbaya kwenye unga wa Soya uliochanganywa na mahindi

    JF ndio kisima cha maarifa. Katika kujiandalia lishe bora ya ugali nimechanganya kg 10 za mahindi na kg 3 za soya. Nilianza kwa kuchemsha soya na kuzianika siku 2. Tatizo unga umetoka na harufu mbaya sana, naiondoaje jamani? Wakati huu wa dunia ya kula kwa sababu na malengo soya ni kitu...
  14. HISTAMINE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Lenovo laptop screen/monitor imevunjika na kumwaga wino

    Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza. Wapi...
  15. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda uwasiliane na utoe msaada wa haraka kwa Watanzania waliopo Rubavu eneo linaloathiliwa na volcano ya mlima Nyiragongo

    Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER. Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaoijua Mgambo JKT Tanga ikoje mazingira yake?

    Mwenye kuifahamu Mgambo anisaidie mazingira yakoje> Panafaa kwenda? au ni mateso? Haya makambi yanatofautiana ingawa kote ni mitulinga ya Jeshi.
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninasumbuliwa na mafua kwa siku tatu

    Habar zenu wakuu.Nina shida ya mafua kwa siku tatu sasa nimejaribu kupiga nyungu ila wapi,Nasikia vitunguu swaumu vinasaidia ila sijui namna ya kuvitumia naomba msaada. Au kama kuna dawa yeyote ya asili naomba nielekezwe altleast njlale na mm leo kama wengne. Asanten
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuhusu bacherol of science in real estate finance and envestment

    Mimi ni kijana niliyemaliza form 6 mwaka 2019 nakupata DIV 2 kwa combination ya EGM nilikuw naomba msaada wenu kuhus hii koz inahusian n nin,pia kweny kuajiria unaweza kupiga kampuni kama zipi pia kweny kujiajiri wew kam ww unaweza kupiga issue kam zipi.Nawasilisha hoja kwenu wadau n mm ndio...
  19. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Infinity hot6 x imekata network kbsa ya mtandao wowote

    Wakuu kuna simu hapa infinity hot6 x Inashida imekata network kbsa ya mtandao wowote, Yaana inaonyesha kabsa line zipo lakini network aishiki, Tukiangalia upande was hardware Hamna shida yyote Kuna baadhi ya watu wanasema imei zinasoma nje lkina mwanzo network ilikuwa fresh kabsa H wadau...
  20. Aijohn

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada na ufafanuzi kuhusu uvimbe kwenye mayai na tiba yake

    Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
Back
Top Bottom