msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bulk SMS

    Hello naomba msaada kwa mwenye ufahamu Kuhusu Bulk sms. kama wanavyotuma hawa watu wa michezo ya kubahatisha hizo namba zetu wanazipata wapi, Mimi nahitaji kujua namna ya kupata hizo namba ili na mm pia niweze kuzitumia kwenye BULK SMS kwa ajili ya baishara yangu. NB: Tayari nimeshapata sender...
  2. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  3. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Uchumi na Kilimo nawaomba kupata kitabu hiki

    Naomba msaada wa kitabu Cha macro economics pamoja na agricultural production economics Cha dolly and orazem pamoja na kitabu chochote kinachohusiana na social research #natanguliza shukran
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua darasa zuri la Kichina jijini Arusha

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita. Natanguliza shukrani.
  5. msukule mzembe

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadilisha Operating System ya simu

    Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android. Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado. Je, naweza kuroot hiyo operating system
  6. Sauda

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ipi nzuri kati ya ky jelly na kly jelly?

    Eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, Ky Jelly na Kly jelly. Sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
  7. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo. Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nawezaje kujiendeleza kielimu?

    Jamani mimi ni mwalimu katika shule X iliopo mkoa Y. Ninahitaji kujiendeleza kielimu kuchukua diploma lakini naingia kwenye mfumo wa Wizara ya elimu "tcm.moe.go.tz" siwaelewi. Kwanza wameweka limitation ya mwaka mimi niliajiriwa kitambo kidogo na wenyewe wanataka mtu awe amemaliza...
  9. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa photoshop na digital painting msaada wenu tafadhali.

    Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique gani hii jina lake ili nifatilie youtube make ukitafuta kwa cartoon za kawaida haiji.
  10. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Habarini wana Jamiiforum! Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!; Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri! Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao...
  11. Wambie Wasikie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usajili wa domain (Tanzania)

    Habari wanaJamiiForums Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain yenye mantiki ya kielimu mbali na kuwa taasisi. Wasiwasi wangu upo kisheria, na hapa ndipo ulipo...
  12. bitebo7

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Online application

    Wakuu kila ninapojaza naletewa ujumbe huu
  13. VMWare-Oracle

    JamiiForums Tanzania Msaada wa notes za Electrical Engineering ngazi ya Diploma DIT

    Habari zenu wana Jamii Forums. Nilikuwa nina uhitaji wa notes za course ya electrical engineering first year pale DIT ngazi ya diploma. Wakuu wa DIT, naomba msaada.
  14. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Msaada Passo Racy kukosa nguvu

    Habari wandugu na wataalamu, Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip? Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Disk langu limekuwa hivi msaada plizi

    Hard disk langu lilikuwa 3Tb sijui wakati wa kuformat nimebonyeza wapi limebaki 746Gb . Naombeni mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuurudisha volume yake halisi
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  17. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukipata msaada katika maisha jiongeze kidogo usijibweteke.

    Swaiba alipata kiwanja Kigamboni, enzi zile bado mapori mengi. Kwa kifupi aliuziwa shamba la ekari mbili. Kwakua haishi Tanzania aliamua kujenga ili asipoteze kiwanja. Alijenga nyumba yake nzuri na swimming pool. Kwakua kiwanja ni kikubwa alijenga na guest wing ya vyumba vitatu yenye...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa swali hili

    Anticipated Outcomes (What impact will the training have on performance?) Naombeni idea ya kujibu hapo, msaada
  20. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ni ya boarding ila wameandika ni college

    Inasikitisha sana wakuu
Back
Top Bottom