Naomba kujibiwa swali hili

Matarajio yaani ilo swali kama la utumishi vile kweny interview

Matarajio katika performance baada ya mafunzo ndo context ya swali changanua wewe unaona kama yapi mfano Kwa mtumishi au mfanyakazi
 
Hebu fikiria wewe ni fundi mchundo wa mitambo ya hospitalini kama CT na MRI hospitali ya mkoa

Hospitali ina hivi vifaa na vilitoka ujerumani, vikiharibika wewe hujui uanzie wapi kuvitengeneza.

hivi vifaa vikifa, wagonjwa hawatibiwi kwa sababu njia ya kugundua magonjwa yao ili kumwezesha daktari kutoa matibabu vimekufa.

Sasa angalia performance ya hospitali kwa ujumla ni itakuwa ina rufaa nyingi za wagonjwa wasiopata huduma ya hivi vifaa katika kugundua maradhi yao.

Au fikiria wewe fundi mchundo umepelekwa ujerumani kusomea stadi kuvitengeneza hivi vifaa, je performance ya hiyo hospitali kwa wagonjwa itakuwaje.

Je hayo mafunzo uliyopata yamesadiaje utendaji(performance ya hospitali)
 
Back
Top Bottom