Msaada jinsi ya kubadilisha Operating System ya simu

msukule mzembe

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
243
294
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.

Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.

Je, naweza kuroot hiyo operating system
 
Yaaani mfano itoke android iende Ios, windows, or Symbian ?

Hichi kitu hakipo sana sana huwa tunafanya updates ya OS tu ya simu kama inakubali kupokea ila kama haikubali itakushangaza baada ya kuilazimisha maana feature zinaweza zikagoma kufanya kazi zingine.
 
Hivi oppo wanatumia os gani
 
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.

Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.

Je, naweza kuroot hiyo operating system
Ndo mara ya kwanza nasikia gougle... Ila kama umekosea unamaanisha google basi itakuwa ni android maana mmiliki wa android ni google hivyo simu zake zinatumia android.
Labda una simu za google za zamani zenye android below v5
 
Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android.

Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado.

Je, naweza kuroot hiyo operating system

Google ndo android wenyewe sasa android ipo limited kivipi wakati ni open source OS?
 
Back
Top Bottom