Msaada Passo Racy kukosa nguvu

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,645
Habari wandugu na wataalamu,

Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?

Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda vizuri ila ukifika tena kama km 20 hali inajirudia ile ile mpaka tena itulie.

Nilichokifanya nikanunua mswaki/half engine na gear box nikafanya service kwa kuweka kabisa cvt oil pamoja kuweka engine oil means service kwa ujumla.

Lakini mpaka mda huu tatizo bado liko pale pale maana mpaka linanikosesha amani maana engine iko safi na gear box pia iko safi msaada tafadhali.

gari ni passo racy engine twin cam 1290cc
 
Pole mkuu.. ila kwa haraka haraka akili ya jioni binafsi nadhani ni fuel pump imezeeka.. kama umebadilisha injini na gearbox umeifanyia service bila shaka utakuwa umeweka spark plugs mpya na coil zako zikiwa zimetazamwa vyema na kupimwa basi shida itakuwa kwenye mfumo wa mafuta.

Inawezekana ikawa ni injector zako zimechafuka na kuziba hivyo injini inapata mafuta kidogo.. ila kwakuwa umesema ukizima gari na kusubiri kidogo ukiwasha inakuwa na nguvu tena basi mimi moja kwa moja naona tatizo lipo kwenue fuel pump yako.

Fuel pump inapozeeka huwa haipeleki mafuta kwa uwiano sawa (constant pressure) inakuwa ina nguvu na kukosa nguvu kwasababu imechoka.

Jaribu kupata pump original ( sio kwamba za kichina ni mbaya hapana, ila hazina uhai mrefu yaani zikitoboa maximum ni mwaka) pia hata pump used sio bora saaana maana hujui imetumika kwa muda gani kabla yako. Jitagidi kupata pump original. Bei itakuwa juu ila utasahau kabisa kwa miaka hata saba.

Huu ni mtizamo wangu kwa haraka.
 
ntaangalia hvyo mkuu maana plugs sikubadilisha baada ya fundi kunambia zilizopo zinachoma vizuri
 
Nilichokifanya nikanunua mswaki/half engine na gear box nikafanya service kwa kuweka kabisa cvt oil pamoja kuweka engine oil means service kwa ujumla.

Kwanini ulikimbilia solution ya gharama hii?

Mlibeti na haikuwork out.

Kuna chance kubwa tatizo linahusiana na umeme. Ukizima gari ni kana umeisahaulisha.... ukiwasha ukiendesha baada ya muda linarudi.

Mlifanya diagnosis?
 
Habari wandugu na wataalamu,

Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?

Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda vizuri ila ukifika tena kama km 20 hali inajirudia ile ile mpaka tena itulie.

Nilichokifanya nikanunua mswaki/half engine na gear box nikafanya service kwa kuweka kabisa cvt oil pamoja kuweka engine oil means service kwa ujumla.

Lakini mpaka mda huu tatizo bado liko pale pale maana mpaka linanikosesha amani maana engine iko safi na gear box pia iko safi msaada tafadhali.

gari ni passo racy engine twin cam 1290cc
Badili ECU labda tatizo liko huko
 
Duuh.. umetumia gharama sana... naungana na mchangiaji mmoja hapo juu,

Kuna 90% chance tatizo lipo kwenye fuel system, angalia Pump na fuel system, kama uliwahi kubadilisha filter angalia zile O rings zinazofungwa kwenye banju bolts za filter.. kama walifunga zile za kopa basi zitakua zimeua hio pump.
 
Habari wandugu na wataalamu,

Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?

Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda vizuri ila ukifika tena kama km 20 hali inajirudia ile ile mpaka tena itulie.

Nilichokifanya nikanunua mswaki/half engine na gear box nikafanya service kwa kuweka kabisa cvt oil pamoja kuweka engine oil means service kwa ujumla.

Lakini mpaka mda huu tatizo bado liko pale pale maana mpaka linanikosesha amani maana engine iko safi na gear box pia iko safi msaada tafadhali.

gari ni passo racy engine twin cam 1290cc
Tatizo lako ni fuel pump imechoka; hiyo haina matengezo, dawa yake ni kubadilisha tu, baada ya muda itashindwa kuwaka kabisa. Vinginevyo itakuwa ni fuel pressure regulator inashindwa kumaintain pressure ya mafuta inayotakiwa kwa atomization process. Kabla hujanunua mswaki na kutumie pesa nyingi hizo ungeniuliza kupitia thread hii hapa chini huenda usingepoteza pesa yako.

Baby walker imechoka hiyo
Habari wandugu na wataalamu,

Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip?

Gari ni kwamba ukitembea kama km 8 inakuwa kama inakosa nguvu mpka uizime ikae baada ya kama dakika 10 then ukiiendesha inaenda vizuri ila ukifika tena kama km 20 hali inajirudia ile ile mpaka tena itulie.

Nilichokifanya nikanunua mswaki/half engine na gear box nikafanya service kwa kuweka kabisa cvt oil pamoja kuweka engine oil means service kwa ujumla.

Lakini mpaka mda huu tatizo bado liko pale pale maana mpaka linanikosesha amani maana engine iko safi na gear box pia iko safi msaada tafadhali.

gari ni passo racy engine twin cam 1290cc
 
Kuna mtu alikuwa na shida kama hiyo.. kuja kucheck kumbe wamemkombea masega…
 
Back
Top Bottom