Msaada: Ipi nzuri kati ya ky jelly na kly jelly?

eti hivi kuna tofauti ipi kati ya vilainishi hivi, ky jelly na kly jelly. sina uzoefu navyo msaada jamani na ipi nzuri. maana hata majina hayafanani, moja ni ky, nyingine kly
Ky jelly ndio original. Kly jelly sio original. Sema jelly zkte mbili n nzur sana kwa ajir ya kuzalishia yaan inatumika kwenye njia hili mtoto apite kwa urahisi. Kaz ya pili n kupimia Tezi Dume,
Kama unaitaji nione pm..
 
 
20220511_214802.jpg
 
Back
Top Bottom