msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Msaada wa swali hili tafadhali

    Habari zenu wote, Naomba kuuliza kwa mfano umekutana swali hili hapa “Eleza ni njia gani utatumia ili kufanikisha zoezi la uhesabiji wa SENSA linalo endeshwa kijijini/mtaani iwapo wananchi wameligomea?”. Naomba msaada wa majibu ya swali hilo chukulia ndo wewe umekutana nalo kwenye interview ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada Photoshop CC portable

    Wadau wa jukwaa la Technology, msaada wenu inahitajika. Ninahitaji hiyo software, computer yangu ilileta shida ikanilazimu niweke window upya.
  3. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  4. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kujua bei za magari haya kwenye showroom za DSM.

    Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading 1. IST. 2. Vts. 3. Toyota Altezza Gita 4. Carina TI. 5. Volts. 6. Suzuki. 7. Nadia. 8. Balloon 4. 9. Gx100 10. Corona old model. 11.Allexes. 12. Premio old model. 13. Wish. 14...
  5. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada wa usafiri mzuri toka Dar kwenda Njombe

    Natarajia kwenda njombe wana ndugu Basi gani zuri naweza tumia natanguliza shukurani naishi dar es salaam
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu practical interview ya Information System Auditor

    Habari Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ? Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
  7. Eugeniahh

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kusoma Software Engineering kama nilisoma EGM?

    Je ninaweza kusoma software engineering Kama advance nlisoma EGM
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Bima ya Afya ya NHIF

    Nahitaji Bima ya NHIF mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi. Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima) Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri. Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema. Muhaya original
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Habari, Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa. Asante
  10. hameid nasseir

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua suluhisho la kukabiliana na kuvimba na kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba

    Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa programme ya kupima eneo la ardhi please

    Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu. Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
  12. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbwa akilishwa Sumu huduma ya kwanza ni kufanya nini?

    Jirani yangu Mbwa wake Vibaka wamemuwekea sumu, amekufa anamuangalia hajui afanyeje! Nahofia na mimi hawa wa kwangu, maana wananisaidia sana na Hawa panya road wa kitaa.
  13. KJ07

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya juice fresh za matunda?

    Habari wakuuu. Nimekuja mbele yenu kutaka msaada kwa mwenye ujuzi wa biashara ya juice za matunda fresh location ni Dar. Je, ni zipi changamoto za biashara hii. Je, soko lake likoje na ni kwa namna gani naweza kuingia katika soko la ushindani. Je, mtaji ambao unaweza kuendesha biashara hii...
  14. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanamke niliyezaa naye alienda kwao baada tu ya kujifungua, hataki nimuone mtoto

    Wakuu Salaam, Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo. Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2...
  15. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kuhusu medical attendants course

    Wakuu habari za leo, naomba kuuliza je kwa sasa kozi ya medical attenants imeruhusiwa kutolewa na serikali? Maana nimeona kuna baadhi ya vyuo vya afya vinatangaza kupokea wanafunzi wa hiyo kozi. Hivyo naomba kujuzwa pia na vigezo vya wanafunzi anatakiwa awe na ufaulu gani. 🙏🙏🙏
  16. Wanama

    JamiiForums Tanzania Mtindo huu wa nywele unaitwaje?

    Je, mtindo huu wa kuweka nywele hivi (kwenye picha) unaitwaje ama unawekwaje na kama kuna mafuta ama dawa naombeni jina (majina) yake.
  17. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Msaada IP address calculations!

    Ukifanya nitachukua na kumpa majibu huyu mwanafunzi!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine inalazimisha kupewa silaha utafikiri ni deni: Msaada ukikawia inatukana!! Hawa ni manazi wa uhakika!

    Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine wanaikejeli ujerumani kuwa wanapeleka makombora ukraine kwa usafiri kama wa konokono!! Ujerumani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuondoa lock katika line ya airtel

    Hello, naomba msaada namna ya kuondoa lock, nilizima simu nlikuwa naicharge ,then mtoto kaiwasha akaanza kubashiri wrong password ili acheze game. Now inanitaka ni input 8digits .Sina ata kumbukumbu wapi niliweks puk naomba za line. Naomba mwenye uelewa anisaifie please
  20. DMD King

    JamiiForums Tanzania Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini

    Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini
Back
Top Bottom