msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo

    Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu. Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki? Sasa mama wamtoto kamwambia baba mtoto nataka nikambatize mtoto Kikatoliki nanimeshampa jina. Shida ni...
  2. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  3. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

    Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
  4. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  5. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata IC CHIPS Drive kariakoo

    wana jukwa za asubuhi poleni na kazi naomba msaada wa kufahamu duka wanalouza vifa vya ecltronic ic chip kariakoo Natafuta IC CHIPS hizi
  6. Juandeglo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mgonjwa wa Ukimwi

    Full blood picture in display Viral Load kwa maabara zetu za bongo?? Au ni vipimo viwili tofauti??
  7. U

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KUHUSU JAMBO HILI LA URITHI

    Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
  8. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

    Wasalaaaam wadau! Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Kiukweli mimi najiona kabisa sasa nimefikia hatua mbaya sana maana imefika hatua nimekuwa addicted vibaya mno wa kuzama uvinza yaani raha yangu ni kupaangalia pale paluvyo na kisha kutia ulimi mpaka najishangaa kwamba mimi siku hizi...
  9. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Chochote kitu anaomba msaada wa kimawazo

    Naomba nikuulize msomaji huwa una kabiliana vipi na hali Kama hii. Iko hivi, wakati tunasoma chuo kikuu Kuna wadau inaweza pita ata miezi 3 hamjawahi salimiana sio mna ubaya la hasha. Wengine ilifikia Hadi unawaomba msaada wa kudiscuss wanagoma kusolve bla bla nyingi. Kiufupi niliishi nao Kama...
  10. judy0

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mfumo wa ajira

    Habari za siku nyingI wana jf? Poleni sana na kazi. Nijielekeze kwenye maada. Natatizwa sana na namna mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI unavyofanya kazi hadi kupata idadi inayohitajika. *Hivi mfumo unachaguaje watu? *Naamini kuna watu wanaousimamia na kuulinda mfumo usiingiliwe, je unalindwa na...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo. Mamlaka...
  12. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  13. Mesja

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu plz

    Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
  14. Anganjwiri92

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  15. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhari kuna mtu amehack account yangu

    Wakuu Habari za jioni Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7 Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa Ila Leo jioni hii nimepata jumbe kadhaa kutoka Google nitaziupload soon na pia after kupata hizo jumbe siwez tena...
  16. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta display original ya Nokia G10

    Habarini wanduguuu!! Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu.. Sijajua Kwa mitaa ya posta ni maduka gani naweza kupata display original kwasababu nipo tayari kugharamia Kwa kiasi chochote cha fedha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbali na tarehe ya kuzaliwa, namba nyingine kwenye NIN zina maana gani?

    Habari Wakuu. Naomba msaada kwa anaefahamu format ya namba ya utambulisho NIN kwenye kitambulisho cha taifa anijulishe maana ya makundi mbalimbali ya namba ukiacha tarehe ya kuzaliwa. Sikuweza kupata maelezo mtandaoni.
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Wasomi wanaogopa kukosoa Serikali ili wapate teuzi. Hawana msaada tena kwa jamii ya Watanzania

    Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  20. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza naombeni msaada wenu

    Kwanza kabisa poleni na mihangaiko ya kutwa nzima ndugu zangu Dhumuni la kuwaita hapa katika uzi huu ni kuomba msaada wenu juu ya hili hitaji langu Nahitaji kifaa kinachotumika kuseti madishi maarufu kama SATTELITE FINDER Kifaa hiki kinauzwa katika maduka yanayouza ving'amuzi na madishi na...
Back
Top Bottom