Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

Kanye2016

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
2,474
2,445
Habarini Wadau!!

Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani.

Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako.

Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi ya kesi anakupeleka Mahakamani kabisa, kule kwenye Mahakama zao haupewi fursa za kusimamiwa na mwanasheria wako, wao wanakuhoji na wanasikiliza maelezo ya traffic au Askari wa barabarani then wanatoa maamuzi Yao, na mostly maamuzi Yao Yana favour Sana upande wa Askari.

Kwa uelewa wangu unapopelekwa Mahakamani unahaki ya kupewa Mwanasheria au ukaomba umlete Mwanasheria wako ili asimame na aongoze proceedings Kwa niaba yako.

Sasa je Kisheria hili suala limekaaje, kutokupewa fursa kupata mtu akakuwakilisha kwenye kesi za makosa ya barabarani?
 
Kunamahakama ya traffic?
 
Back
Top Bottom